Ninadhani wanasheria wa CHADEMA wameishauri vibaya Kamati Kuu

Ninadhani wanasheria wa CHADEMA wameishauri vibaya Kamati Kuu

Mbowe amezungukwa na washauri wabaya

Toka Dr Slaa aondoke amekuwa na maamuzi ya kukurupuka
sio msomaji sana wa hoja zako ila now kwa hili umeenda mbali sana,nitajikita kwenye hoja SIO WEWE; hali ya kisiasa ndani ya nchi yetu haina UHURU ambao tuliupigania,kilichopo ni makandamizo,hakuna freedom of press, hakuna demokrasia ya vyama vya kisiasa kufanya kazi zake kwa uhuru but kwa kuzingatia katiba yetu (kuitisha mkutano wa kisiasa huhitaji kibali cha polisi BUT taarifa kwao ili watoe ulinzi wa mkutano) ila kinachotokea sasa ni mizengwe inayosababisha watu kuuliwa, kupotezwa na mikutano hii haifanyiki.

NEC sio tume huru ya uchaguzi(kikawaida ilitakiwa iwe na mtandao wake unaojitegemea na staff wake kuanzia ngazi ya taifa hadi mtaa),polisi na tiss ni matawi ya chama dola;nchi haijawai kufikia level hii ya kuchukiana kisa tofauti za kisiasa,naungama hapa itakuwa ngumu sana kwangu kwenda kwenye msiba wa ndugu yangu kama alikuwa ni mwanaccm(hii ni facts na ndugu zangu wanajua hili na wao hawatakanyaga kwangu)cheche itakapo kuja kuwaka Time will tell;wewe huna madaraka ya kulisema hili kwa Mwenyekiti wa CDM amezungukwa na washauri wabaya wakati huna utafiti nalo,je our no 1amezungukwa na washauri wema au wachumia tumbo?

Dr.Slaa kuondoka kwake ilikuwa haki yake na sio kwamba yeye ndiye alikuwa baba wa upinzani (angalia alipata kura ngapi za urais alipogombea,na Dr.Slaa alikuwa ni brand ya CDM sio yeye kama yeye)tatizo la working class wetu tu wabinafsi,wachumia tumbo,na maanadamu kwako kinachemka you don't take a shit kinachotokea kwa jirani yako,upepo utakapokuja kubadilika naanza kuwaona wakimbizi wengi mno ndani ya nchi yetu.
 
Tatizo pesa pesa pesa chama hakuna pesa ya kulipia wasimamizi wa uchaguzi
 
Daah Elius W Ndabila,

20191108_110503.jpeg
 
Nia ilikuwa chama kushinde kwa asilimia mia bila kujali mbinu za ushindi. Sasa kama hawa wamejitoa voluntary basis watu wanywe mfinyo was ushindi

hahahha,mkuu sasa hivi watashinda kwa Asilimia 101 😂😂😂
 
Ukitaka kujua kama Tanzania kuna upinzani dhaifu au imara basi:
*Polisi wajitenge na ccm.
*Kuwe na tume huru ya uchaguzi.
*Demokrasia iwe huru nchini.

Hapo sasa ndiyo unaweza kusema upinzani ni dhaifu au sio dhaifu.
Noted
 
Chadema waliingia uchaguzini dakika za mwisho,hawakuhamasisha wafuasi kujiandikisha
Wametoka uchaguzini dakika za mwisho
Inaweza kuwa mkakati mahsusi ili kususa kutengeneza picha mbaya,au wamenusa tu kushindwa
Wasuse tu,ukimsusia mwwnywkiti wa mtaa barua ya udhamini wa mkopo wa polisi kumtoa ndugu utapata wapi?
Ungeeleza CDM walitakiwa waanze lini kuwahamasisha wafuasi wao wakati mikutano yao yoooote hata ya ndani imezuiwa! Unajua walichoelezwa watendaji wa kata walipoitwa ikulu? Hapa ndio tunaanza kuelekea kileleni.
 
Chadema waliingia uchaguzini dakika za mwisho,hawakuhamasisha wafuasi kujiandikisha
Wametoka uchaguzini dakika za mwisho
Inaweza kuwa mkakati mahsusi ili kususa kutengeneza picha mbaya,au wamenusa tu kushindwa
Wasuse tu,ukimsusia mwwnywkiti wa mtaa barua ya udhamini wa mkopo wa polisi kumtoa ndugu utapata wapi?
Ungeeleza CHADEMA walitakiwa waanze lini kuwahamasisha wafuasi wao wakati mikutano yao yoooote hata ya ndani imezuiwa! Unajua walichoelezwa watendaji wa kata walipoitwa ikulu? Hapa ndio tunaanza kuelekea kileleni.
 
 
CDM wanakataje rufaa wakati si mgombea? Mgombea ni mtu siyo taasisi
 
Me naona CCM tufurahi maana ushindi wa mezani huu hapa
 
Back
Top Bottom