\Nachukizwa sana na tabia ya wahaya kusogeza mipaka.
Nachukizwa sana na tabia ya wahaya kusogeza mipaka.
nimechukizwa na marekani kuinga mkono chadema.
Nachukizwa sana na tabia ya soksi zangu kuanza kunuka hata kabla hazijamaliza wiki mbili.
Nachukizwa na hali ya nafasi za mhimu kama viti maalum vya ubunge kukaimiwa na wadada wenye sifa moja tu! "nyumba ndogo za viongozi wa juu"