Ninachukizwa sana.....

Ninachukizwa sana.....

Nachukizwa na tabia ya Watz tulio wengi kuchangia mada bila kuelewa!
 
Nikachukizwa kuogeza bei ya mafuta ya taa kuzuia uchakachuaji.
 
Nachukizwa sana tunapoambiwa tukubali ushoga ili tupate msaada
 
Nachukizwa na Radio/Tvs Stations zetu kupiga ma nyimbo hayo hayo kila siku...!
 
Back
Top Bottom