Sichukii masai ila hawa jamaa si wastarabuwananuka nn sasa mbona unawachukia wenzako?
Novel n sawa lkn wakat mwngne yale makelele yao wala huwez somantajaribu kuanza kuvisoma mkuu
mbona umesahau kwaya ?zitapigwa njia nzima mpaka mtakoma,
kuna kitu kimoja nimejifunza kwa watanzania,wengi wao wanaamini kila mtu duniani anapenda muziki kumbe tofauti kabisa wengi hawapendi muziki mmoja wao mimi sipendi kabisa
Kuna basi nilipanda kutoka Mwanza kwenda walinifurahisha sana kwa kuweka movie ya
WRONG TURN kwanzia part 1 mpaka 4...
Ila kuna akina mama walikua hawataki kabisa lakini Konda akaweka pamba maskioni.
Safari ilikua nzuri mno maana hizo movies ni horror za maana.
Kama wewe hupendi wapo wengine wanaopenda hizo movies na music videos. Jifunze uvumilivu huwezi kufurahishwa wewe tu kila siku kwa kila kitu
Binadamu hatujawahi fanana kwa kila kitu cha muhimu ni uvumilivu hasa sehemu public. Kama ndani ya bus wameweka movie ambayo wewe inakukera kuna mwingine ndio his favorite movie anaweza angalia all day long, mimi kuna albums naweza sikiliza siku nzima hasa nikiwa kwa gari so jifunze uvumilivu vinginevyo itabidi uanze kusafiri privatelykuna watu humo ndani wanaopenda kurudia rudia mziki mmoja? yaani saa 2 asubuhi wanarudia ,saa 7 na saa 10?mhh