Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Basi itakubidi tu ucheki hizo movie maana hamna namna nyinginebrother situmiagi headphones kwa bahati mbaya sanaa,huwa nikiwaambia hivyo watu wananishangaa
Basi itakubidi tu ucheki hizo movie maana hamna namna nyinginebrother situmiagi headphones kwa bahati mbaya sanaa,huwa nikiwaambia hivyo watu wananishangaa
mkuu kurudia rudia movie ndo kunaboa sana ,,tena wanarudia movie za kibongo sijui wao huwa hawaoni kero? moshi to dar wanaonyesha movie za gabo tu tena wanairudia rudia
jay311, hiyo ni fursa. Anza biashara ya kushauri wenye mabasi kuhusu in-bus entertainment.
Fuatilia kwa kina namna wasafiri wanaweza kuburudishwa na pitia kampuni zote unazodhani hazifanyi vizuri kwenye hilo uwashauri na upate chochote kusukuma maisha.
Fursa huja kwa njia nyingi. Mojawapo ni kwa kupata hasira/kuudhiwa so unajitahidi kubadili hali na unatengeneza utajiri.
Nicheki PM tuiweke sawa km unahitaji na kama unapenda kutumia akili nyingi kutatua kuliko kulalamika.
Naogopa kufa aseeh,,vipi wewe ungetumia dawa hizo?
Mi sio kaka lakini.aya kaka,,,bitajitahidi kuwa naweka videos za kutosha kwenye simu
nimekuelewa lakini sio wataniona kama mpiga debe fulani kweli? ?
haisababishi addiction?
ndio kaka nimezoea kusafiri na hiyo
Utabeba vipi vitabu wakati ndiyo hulka yetu 'niggaz' vitabu na sisi ni kama mgonjwa na stori za kifo.huwa nakuwaga na magazet hata mawili ila nasoma kwa muda kidogo tu nakuwa nimemaliza...vitabu ndio sijawahi kufikiria kutembea navyo