Ninachokichukia ndani ya Mabasi ya Safari

Ninachokichukia ndani ya Mabasi ya Safari

Binadamu hatujawahi fanana kwa kila kitu cha muhimu ni uvumilivu hasa sehemu public. Kama ndani ya bus wameweka movie ambayo wewe inakukera kuna mwingine ndio his favorite movie anaweza angalia all day long, mimi kuna albums naweza sikiliza siku nzima hasa nikiwa kwa gari so jifunze uvumilivu vinginevyo itabidi uanze kusafiri privately

haya nitajitahid kuvumilia
 
kunywa dawa za usingizi pia kumbuka kumwambia konda unashukia wapi. kero zote za bongo muvi, watu kutapika hovyo, watoto kulialia, dereva kukata kona ki ajabu ajabu na zile breki za ghafla utasimuliwa tu. ni kama time travelling
duh hiyo kama mnapata ajali unashtukia huko mbinguni moja kwa moja
 
unaweza usisome kabisa,,saa zingine gari lipo speed concertration inapungua....au mtu afungue dirirsha upepo uingie kwa kasi ndio bassi tena
Haya mara wakat mwingne umekaa siti moja na mtu anayependa kulala basi c kulala ovyo hadi kukuegemea
 
Kwenye mabasi hasa ya kusini huko lindi na ntwala nakereka mtu anasafiri na watoto mjibane siti moja mara aombe umsaidie.
Nilimkatalia mtu nashangaa nilishambuliwa. Khaaa... Starehe zao ziwe kero kwangu.
Sahivi ikinibidi kupanda basi nachagua hadi jirani wa kukaa nae. Namwambia anaekatisha tiketi sitaki abiria jirani wa aina hii.
 
Mna raha sana watoto wa siku hizi,enzi zetu unasimama kuanzia Singida hadi Arusha,huku umefungashiwa viazi vilivyochemshwa na karanga,maana uhakika wa kufika mapema ulikua mdogo hasa kipindi cha masika
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu...

Kwa bahati mbaya wakati wa kusafiri kwenda mikoani( mkoa to mkoa) huwa sifanikiwi kupata usingizi ndani ya basi,hivyo nalazimika kuwa macho/awake muda wote.

Mara nyingi huwa kwenye basi wanaweka entertainment kama muzic video na movie na hata bongo movie....

Guess what? kwa bahati mbaya tena mm sio mshabiki kabisa wa bongo movie,na pia huwa sipendi kutumia headphones kwa hiyo kwa njia yeyote ile ni lazima nitasikia tuh kelele za akina nani sijui wa bongo movie basi nachanganyikiwa tu nabakia kuangalia miti inavyorudi nyuma.

Isitoshe wale wahudumu wa mle ndani wanaweka music video za zaman kweli miaka ya 2000's na pia wanarudia miziki ile ile yani kwenye basi lao ,,,yaani flashdisk zao hawabadilishi mziki wala nn...kwa hiyo ukisafiri kwa express mwaka huu ukisikiliza nyimbo ya Mo music ujue kuwa mwaka 2017 pia ukipanda basi lile na mabasi mengine pia utasikiliza cd/flashdisk ile ile....

Yaani kusafiri inakuwa kama jela fulani hivi with no freedom....nachukia sana wanavyorudia movie zile zile za comedy mfano zulu au za jackie chan sometimes ni ile ile,hivi wanadhani kila safari wasafiri ni WAPYA?

Kero si ndani tu ya mabasi, hata safari yenyewe huko barabarani!
 

Attachments

  • 064.jpg
    064.jpg
    30.9 KB · Views: 29
Mna raha sana watoto wa siku hizi,enzi zetu unasimama kuanzia Singida hadi Arusha,huku umefungashiwa viazi vilivyochemshwa na karanga,maana uhakika wa kufika mapema ulikua mdogo hasa kipindi cha masika
Hahaha bila shaka ww mtani wangu
Ss hv mabasi mengi sana tunasafir kwa raha pia Arusha/Singida pamekuwa karibu sanaa kiasi kwamba hata ukisimama huchoki
Ahsante serikali ya mafisiemu
 
Nimepanda basi moja la hovyo to Dar-Arusha limetumia saa Kumi,basi ni movie za Majuto masaa yote
Sina hamu
 
Nimepanda basi moja la hovyo to Dar-Arusha limetumia saa Kumi,basi ni movie za Majuto masaa yote
Sina hamu
madereva wakikimbia napo mnalalamika! Japo hujaweka wazi sababu ya kutumia hayo masaa 10 ni nini!
 
kunywa dawa za usingizi pia kumbuka kumwambia konda unashukia wapi. kero zote za bongo muvi, watu kutapika hovyo, watoto kulialia, dereva kukata kona ki ajabu ajabu na zile breki za ghafla utasimuliwa tu. ni kama time travelling
Ikitokea ajali unaunganisha kwa Sir God moja kwa moja.
 
mbona umesahau kwaya ?zitapigwa njia nzima mpaka mtakoma,

kuna kitu kimoja nimejifunza kwa watanzania,wengi wao wanaamini kila mtu duniani anapenda muziki kumbe tofauti kabisa wengi hawapendi muziki mmoja wao mimi sipendi kabisa

Dar express walikua wanampenda sana Christina Shusho
 
Me na kipasso tu najichagulia mwenyewe myie pandeni basi tu.
 
Back
Top Bottom