Wananikera sana..Isitoshe mimi sio mpenzi wa comedy za bongo na bongo movie..Ndio maana sisahau Dr Dre zangu nikisafiri safari za mbali na mabasi ya mikoani..
Ilikuwa balaa usafiri ule khasa waqt wa masika roho juu.ehehe those were the days...yaani bora kipindi hicho ndio hali halisi
Kijana fanya kazi nikuuzie mzigo huo uachane na kero za manasiMuombe mungu wako, akupe nguvu ufanye kazi kwa bidii ili uweze kununua kilimo kwanza ili iwe unasafiri privet, hakuna mtu atakupangia kumuangalia Mzee majuto
Hiyo x3 ni 2.5 engine, 240 speed mwendo wa gesi hapo ingekuwa nchi za wenzetu unaenjoy cruise ila hapa kwetu barabara mbovu hata 140 unaogopa kufikishaaseeh bonge moja la gari,,yaani 120km/h nafika mombo kwa masaa matatu tu