Ninachokichukia ndani ya Mabasi ya Safari

Ninachokichukia ndani ya Mabasi ya Safari

Mi wananikera hawa wanapiga taarab kuanzia mwanzo wa safar mpaka mwisho wa safar,wanashindwa kuelewa sio kila mtu n mpenzi wa aina hyo ya muziki
 
Mi wananikera hawa wanapiga taarab kuanzia mwanzo wa safar mpaka mwisho wa safar,wanashindwa kuelewa sio kila mtu n mpenzi wa aina hyo ya muziki

hicho ndio huwa kinanichosha
 
Kama ni mpenzi wa vitabu siku nyingine jisomee ukiwa safarini
 
Kama ni mpenzi wa vitabu siku nyingine jisomee ukiwa safarini

sio mpenzi kwa kweli labda kama ntaanza kujisomea vitabu,,kitabu cha mwisho hata sikumbuki nimejisomea lini
 
sio mpenzi kwa kweli labda kama ntaanza kujisomea vitabu,,kitabu cha mwisho hata sikumbuki nimejisomea lini
Wewe kama mimi, ila nataka nijitahidi niwe nasoma soma vitabu.

Kwa hali hiyo nakushauri hata kama si mpenzi wa vitabu ukiwa safarini, safiri na vitabu, nna hakika utaanza kuwa mpenzi wa vitabu. Sababu utapata muda wa kutosha.

Cha nyongeza safiri na laptop yako uwe unacheza gemu
 
KWA KUWASAIDIA UWE UNAANDAA FLASH YAKO KABISA.. UKIPANDA BASI UNAWAPA WAWEKE

hehehe,,watakubali kweli? sidhani wataona labda unawadharau ww ndio unajua miziki kuliko wao
 
Ujue kila mtu ana hobby yake....abiria wote hao zaid ya 50 itawezekana kuwafurahisha wote hao? Acha ubinafsi kuja kulalamika humu huo ni ubinafsi to the highest degree
 
Ujue kila mtu ana hobby yake....abiria wote hao zaid ya 50 itawezekana kuwafurahisha wote hao? Acha ubinafsi kuja kulalamika humu huo ni ubinafsi to the highest degree

wakiweka latest music za bongo au za mbele nitafarijika,tatizo lao ni nyimbo za zaman zilizopo outdated ndo wanazioplay... movie zisizoeleweka safari inakuwa haina entertainment yeyte ya maana
 
Movies hasa za kibongo ni kero sana. Kila movie mapenzi. Dar hadi Mwanza movie inarudiwa mara nne. Yakianza ma movie yao mi natazama mandhari nje au nachapa usingizi.
 
Movies hasa za kibongo ni kero sana. Kila movie mapenzi. Dar hadi Mwanza movie inarudiwa mara nne. Yakianza ma movie yao mi natazama mandhari nje au nachapa usingizi.

mkuu kurudia rudia movie ndo kunaboa sana ,,tena wanarudia movie za kibongo sijui wao huwa hawaoni kero? moshi to dar wanaonyesha movie za gabo tu tena wanairudia rudia
 
kunywa dawa za usingizi pia kumbuka kumwambia konda unashukia wapi. kero zote za bongo muvi, watu kutapika hovyo, watoto kulialia, dereva kukata kona ki ajabu ajabu na zile breki za ghafla utasimuliwa tu. ni kama time travelling

Na akifa anaenda smooth...
 
Earphone zako masikioni na muziki uupendao uwe unakuburudisha safarini kutoka kwenye simu yako

brother situmiagi headphones kwa bahati mbaya sanaa,huwa nikiwaambia hivyo watu wananishangaa
 
Earphone zako masikioni na muziki uupendao uwe unakuburudisha safarini kutoka kwenye simu yako

brother situmiagi headphones kwa bahati mbaya sanaa,huwa nikiwaambia hivyo watu wananishangaa
 
Yaah mnasafiri dar mwanza siku 3 na masufuria yapo ngoma ikigoma sekenke mnapika kisha kusubiri majaaliwa.

ehehe those were the days...yaani bora kipindi hicho ndio hali halisi
 
Back
Top Bottom