Ninachanganyikiwa!

mi naona hapa Kaunga hajielewi otherwise angeongea akiwa nje?
ndo maana kwangu mimi ningemshauri aanze upya bila kuangalia yeyote hapo
yupo mtu,unaogopa kwenda kwa mwingine? how sasa?

Wanasema Once Bitten Twice Shy...., Nadhani asilimia 90 ya watu waliopo kwenye mahusiano (ambayo sio arranged marriage) wengi wao walianza vizuri na watu walikuwa wanaficha makucha na kujifanya watakatifu.., sasa huoni kama yule uliyenae sasa hapo kale alikuwa mtakatifu.., akija mwingine mtakatifu utasita kwenda haraka ukidhani kwamba huenda na huyu ni msanii ?
 
moyo unakuambia mpende fulani maana anakupenda?
umejuaje? umeonaje? bora akili inajua na kuona...moyo mdanganyiiifu kwa kweli even ndo uzima wetu!

Mmmh, ngoja nianze kuchukua mazoezi
Nitumie akili tu

Yaani hata mie nimebaki kupiga likes.....

Katika haya mambo bwana kichwa kinatakiwa kisione mawenge wenge ya aina yoyote....Ila yakizidi hadi unatembea kama una-float angani....Hiyo ni hatari kama kucheza na mtoto wa simba!

Babu DC!!

Ila hakuna mwalimu mzuri kama uzoefu binafsi
Somo hungia hadi mifupani


Ha ha ha, ibuka nacho tu kama kinakupa amani
Si unajua vizee kwa kubembeleza ndio vyenyewe?
Huoni mie kuna mzee mmoja hapa jf nammendea kama nini ila haeleweki tu:shut-mouth:

Alitaka kukuliza 20m??
 
teh mzee gani huyo isiwe tunagongana besti?
 

Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwaheri
 
hapo ni kizaazaa kweli kweli......
yote yanaweza kuwa sahihi.......
nakumbuka enzi hizoooooo, nilitakiwa kufanya maamuzi magumu nikiwa hata sina alternative....
niliweka investment yangu yooote kwenye project moja....
sikutaka kabisa kusikia habari za ku-diversify mtaji (ile theory ya kuepuka ku-put all your eggs in one basket sikutaka kuiingiza akilini).....
niliteseka sana...... nilikaribia kuwa vipande vipande.......
lakini nikajipa moyo kuwa hii haitafanya kazi, I have to let it go ingawa bado alikuwa anajitahidi kuniaminisha kuwa he is the one.....
look at me now, nili-let it go..... nikajipa muda mreefuu sana.... nikapona..... nikapata mtu ambaye naamini aliumbwa kwa ajili yangu. sijuitii kabisa yale maamuzi magumu niliyoyafanya
 
mmh mbona hakulala home siku ya valentine?
nalog off!
 
Asante mamii kwa real life experience; nami hiyo ya kudiverstify l am very poor kabisa.
So siwezi; taking time to heal is my way maana kupenda kwa akili pia si mtaalamu na nimekubali kushindwa. So mpaka moyo upone ndipo ninapojiingizaga ktk mahusiano mapya hata kama ikichukua 2 years.

Replacing someone haraka haraka for the sake ya kumsahau kwa maoni yangu inaweza kukupatia kichomi skweard!
 
kupenda kwa kichwa nimepata sifuri, yaani hata F ya 20 siwezi kusema naweza kupata, ni 0 kabisaaaa.
kujipa muda huwa naona ni best solution....
kuna rafiki yangu fulani kuna kipindi mpaka nikaamua kuingilia kati maisha yake. kila baada ya miezi kadhaa ana bf mpya, wa zamani wameshagombana. tukaenda hivyo kwa wakaka kama 4 hivi, hapo ni less than a year, nikasema enough! sasa ni muda wa wewe kuchukua break, chini ya usimamizi wangu........ sasa tunaenda mwaka wa 3 kila nikimwuliza vipi anasema bado hajaona, na siyo kama watu hawaji, wanakuja sana tu
 
The best option could be to turn your life into "a Laboratory" and experience the difference!
Kaunga chungulia Signature hapo chini!
 


Umeona @FP?

Mie huwa nasema siku zote, hakuna tiba bora kama kumalizana na illusions..lol!!

Ndiyo maana mdodo wangu Smile amekua sasa...hatumii tena moyo bali anatumia akili kubwa!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
tutagongana kwa interview!


Hivi unaweza kupoteza muda wako kumsikiliza Kongosho??

Kila siku nikimsimulia Bibi kwamba kuna mjukuu mmoja JF anavuta bangi kuliko watoto wa vijiweni Tandika na Temeke anabaki kucheka hadi anajiloanisha kwa machozi.....

Shaurilo kama unauvaa mkenge wake!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Unasema huwezi kutumia akili ya juu wakati hapa umemfundisha mwenzio kutumia akili??

Ila ukweli ni kwamba, kutumia mtu mpya kufuta machungu ya zamani ni sawa na kujivisha mambo ambayo yatakulipukia ukiwa peke yako bafuni!!

Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…