Ninachanganyikiwa!

BADILI TABIA... I can buy ya idea ya kuweka mguu ndani mguu nje kwa uangalifu mkubwa.

Na time factor ni muhimu pia (usikurupuke).

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
duuh pole sana
take it from me! tumia akili yako,moyo mdanganyifu


Siku hizi umekuwa komando?

Honger sana mdogo wangu....Akili tena ya kichwa kikubwa ndiye driver mzuri!!

Babu DC!!
 
Siku hizi umekuwa komando?

Honger sana mdogo wangu....Akili tena ya kichwa kikubwa ndiye driver mzuri!!

Babu DC!!
kuna mtu nilikuwa nampenda babu,yaani moyo wangu wooote ulimdondokea full full sili silali,ila ukiangalia ukijumlisha na kutoa ni negative au ziro ziro. nikauclose moyo wangu.
ngoja nitakumalizia kilichotokea!
 
BADILI TABIA... I can buy ya idea ya kuweka mguu ndani mguu nje kwa uangalifu mkubwa.

Na time factor ni muhimu pia (usikurupuke).

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
ukiona upo mahali mguu ndani mwingine nje ,jua hapo sio sehemu sahihi! ukiona alarm inalia mara utoke mara hujui urudi jua hapo sio
sehemu sahihi unakuwa huna cha kujiuliza so hapa dadangu Kaunga hata mmoja hamfai bora alianzishe tena
maana aloko nae anampa sababu za kutoka,na aloko nje anampa sababu za kubaki alipo.so wote hao hawafai!
 
Last edited by a moderator:
kuna mtu nilikuwa nampenda babu,yaani moyo wangu wooote ulimdondokea full full sili silali,ila ukiangalia ukijumlisha na kutoa ni negative au ziro ziro. nikauclose moyo wangu.
ngoja nitakumalizia kilichotokea!

Najua utanisimulia tu mdodo wangu...

Ila issue aliyomo Kaunga ni ngumu sana kuamua hata kama mtu ana uzoefu wa miaka 210!!

But kama ulivyosema kwenye post #45 , kitendo cha kukaa ukajiuliza kama ubaki au uondoke kinatosha kuonesha kuwa kotekote hakujatulia!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
ukishaona hizi alama kichwani kwako????????????????????????????????????? kimbia
tena ????????? ya mwanaume ukijilazimisha kuijibu inakula kwako!
mi jana nimefunga hesabu moja hivi na Mungu wangu!
 
Very true

Bange ya leo ya wapi? Maana ina mapoint sana

 
Roho i radhi lakini mwili ni dhaifu

ukishaona hizi alama kichwani kwako????????????????????????????????????? kimbia
tena ????????? ya mwanaume ukijilazimisha kuijibu inakula kwako!
mi jana nimefunga hesabu moja hivi na Mungu wangu!
 
Very true

Bange ya leo ya wapi? Maana ina mapoint sana


Yaani hata mie nimebaki kupiga likes.....

Katika haya mambo bwana kichwa kinatakiwa kisione mawenge wenge ya aina yoyote....Ila yakizidi hadi unatembea kama una-float angani....Hiyo ni hatari kama kucheza na mtoto wa simba!

Babu DC!!
 
Very true

Bange ya leo ya wapi? Maana ina mapoint sana
mi nishalizwa sana na hii mikitu.deciding btn the two????? hii topic naijua sana nilifundishwa na roho
siwezi kukosea tena
usishangae ukiniona na kizee cha tabora,wakati nilikuwa natokewa na vijana wazuri tu wa kichaga! akili moyo ???? moyo?? kidogo nilizwe 20 m?
 

Nadhani alioko nje sio kwamba anampa sababu za kubaki ndani bali ni kuogopa the unknown.., yaani aliyopo nje anaonekana mzuri mpaka sasa ingawa labda akishaaondoka aliyemwacha atakuwa ni afadhali ya huyu wa nje (baada ya kuona true colours na honeymoon period kuisha..)

Mimi nadhani the simple way ya maisha ni kuishi maisha ya standard zako mwenyewe na ukiona huzipati sehemu na huwezi kuvumilia unaondoka..., akija mwingine unampa chance na kama hatimizi vigezo na hafai pia unajiondokea na kuendelea na maisha yako..., after all wanasema.....
"Yesterday is History, Tomorrow a Mystery, Today is a Gift, Thats why it's called the Present"

Kwahio cherish the moment na kama mtu anakupa furaha kwa wakati huo endelea naye na kama anakupa majonzi achana nae
 
mi naona hapa Kaunga hajielewi otherwise angeongea akiwa nje?
ndo maana kwangu mimi ningemshauri aanze upya bila kuangalia yeyote hapo
yupo mtu,unaogopa kwenda kwa mwingine? how sasa?
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli kabisa, ni rahisi mno kuzimanage standard zako kuliko kutegemea au kuhope kwamba huenda huyu atabadilika aukwamba mwingine atakuwa mzuri zaidi. Ukiwa na standard kuwa hili siwezi vumilia lakini haya mwengine yanaweza jadilika basi hiyo ndio inakuwa muongozo wako.

Hata wale wa imani, ambao wanasekuwa na msimamo kuwa ndoa siwezi ivunja basi no matter what kwa kuwa ninaishi kwa ajili ya maisha ya baadaye (mbinguni) basi wasimamie ila tu WASINUNG"UNIKE. Wenzangu na mimi wavivu wa kuvumilia basi nasi tujue limits zetu.
 
mi naona hapa Kaunga hajielewi otherwise angeongea akiwa nje?
ndo maana kwangu mimi ningemshauri aanze upya bila kuangalia yeyote hapo
yupo mtu,unaogopa kwenda kwa mwingine? how sasa?

You mean akae mwenyewe kwanza ili apate muda wa kureflect eeh?
What if huyu mpya ni so understanding that anamuachia muda na kuwa karibu naye bila kutegemea chochote in return; huoni kama akimuachia anaweza akapoteza bahati na sio kila siku Jumapili you know.
 

Ni kweli kabisa alafu unajua sometimes unaweza ukabaki sehemu kama mwili tu, ila sababu ya hasira na roho haitaki unajikuta umekuwa mtu wa visa na nyumba badala ya kuwa " a Home" inakuwa uwanja wa vita.., hata labda wale watoto mnaotaka kuwa-protect mnakuwa mnawaumiza kwa kuona kwamba nyumbani hakuna furaha bali karaha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…