You don't know what you have until you loose it
au
you don't know what you are missing until it arrives.
Should l let him go kwa kutegemea kwamba huyu anayenifukuzia huenda akawa mzuri au niendelee naye kwa kuhofia nikimpoteza sintapata mtu kama yeye?
Mi naona hiyo kwenye red ndo sahihi, hata huyo atakaekuja ana mapungufu yake pia!!!
You don't know what you have until you loose it
au
you don't know what you are missing until it arrives.
Should l let him go kwa kutegemea kwamba huyu anayenifukuzia huenda akawa mzuri au niendelee naye kwa kuhofia nikimpoteza sintapata mtu kama yeye?
alafu eti wanasema shetani umjuaye ni bora kuliko malaika usiyemjua
Mwingine kasema hivi:
"giving someone all your love is not an assurance that they love you back; don't expect love in return just wait for it to grow in their heart but if it doesn't; be content that it grew into yours"
nafikiri hii sun wu anakubaliana nayo!
Kweli kabisa, lakini hapa it depends if what you have makes you happy, then at least stay/stick with it because even if you might be missing something (which you don't know) you also don't know what baggage that other something is coming with...
If you are not happy (at least if you was happy before he came and now you are unhappy..) then just leave him not because you expect to get someone better but because you can't stand him and you are better off alone.., because its a gamble... huyo anayekuja huenda akawa worse or better (its a gamble)...
Kama mimi na wewe eeh!
Kuna mtu kaniambia hivi:
"never say goodbye if you still want to try, never give up if you feel you can go on, never say you dont love a person any more if you cant let go"
Wanaojifanya very strong outside
ndio ambao very weak inside
Happiness ndio kipimo. Thanks mkuu but angalizo:-
"When the door of happiness closes another opens but oftentimes we look too long at the closed door that we don't see the one which has been opened for us"
You don't know what you have until you loose it
au
you don't know what you are missing until it arrives.
Should l let him go kwa kutegemea kwamba huyu anayenifukuzia huenda akawa mzuri au niendelee naye kwa kuhofia nikimpoteza sintapata mtu kama yeye?
Uko sahihi kwa asilimia mia hapo The Boss.. Ninachomshauri Kaunga maamuzi yote yanayohusiana na mahaba muhusika hasukumwi na ushauri anaopewa.. anasukumwa na matamanio ya moyo wake.. "Follow ur heart" ni msemo maarufu ku-justify hiki nimuambiacho bibie Kaunga.. Awe makini tu asije akakanyaga kifaranga kwa ajili ya kuokota yai.. Linaweza kuwa viza..