Elections 2010 Nina wasiwasi na Wenje Nyamagana

Wakuu wa huko Nyamagana ebu tupeni habari hata kama ni mbaya najua kuna tatizo kidogo hapaJF ,habari mbaya haziletwi kabisa !
 
Kama ni kweli CHADEMA have to be serious on this.
Isije ikawa CCM washapitisha ngawila apo
 
Wakuu wa huko Nyamagana ebu tupeni habari hata kama ni mbaya najua kuna tatizo kidogo hapaJF ,habari mbaya haziletwi kabisa !
harakati zinaendelea vyema, hekaheka za hapa na pale , hatulali, Tangu Juzi tupo himahima, nimesoma mawazo ya wachangiaji humu, nashukuru kwa ushauri wenu.
ila Wapenda mageuzi wengi hujitenga mbali na harakati za mageuzi kwa kuona ni jukumu la wachache, ila mi niko mstari wa mbele hapa Nyamagana kuhakikisha Masha anapoteza, hii haina shaka.
 
Wadau mpaka sasa sioni mfumo wala harakati za nguvu za Wenje kujihakikishia ushindi hapa Nyamagana. Naanza kupata wasi wasi kama atashinda ingawa Masha hapa Nyamagana hatakiwi kabisa.

Hoja isiyo kuwa na uthibitisho, utupiliwa mbali bila haja ya uthibitisho wa kuitupilia mbali. Nami naitupilia mbali hoja yako!
 
Wenje jaribu kubadili mbinu kidogo an sikiliza watu wanasemaje, ushindo utakuponyoka mdomoni mwanawane. Hapo Nyamagana napajua sana, watu wanapenda hela sana. But believe, huyo masha hatakiwi kabisa, wewe kaza buti weka mipango mizuri ushinde, kuwa mbunifu ili ushinde bila hivyo, utakuwa umepoteza dira yako kisiasa.
 
Huyo wenje ndie nani hasa?

CHA MOTO MWANANGU MTAKIONA MWAKA HUU! TUMEWEKA VIJANA WANAOJIAMIN KAMA HUJUI! HABARI NDIYO HIYO

Utamjua tu siku ya Uchaguzi mbeya mkubwa wewe!!! Unajifanya humjui sasa hivi? Waulize CCM wenzio hapo Nyamagana!!

MASHA KWISHA KAZI!!!!!!!!!!!

HUREEEEEEEEEEEEE CHADEMA WENJE JUU JUU ZAIDI!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom