Elections 2010 Nina wasiwasi na Wenje Nyamagana

MwanaCBE

JF-Expert Member
Sep 23, 2009
1,771
804
Wadau mpaka sasa sioni mfumo wala harakati za nguvu za Wenje kujihakikishia ushindi hapa Nyamagana. Naanza kupata wasi wasi kama atashinda ingawa Masha hapa Nyamagana hatakiwi kabisa.
 
Wadau mpaka sasa sioni mfumo wala harakati za nguvu za Wenje kujihakikishia ushindi hapa Nyamagana. Naanza kupata wasi wasi kama atashinda ingawa Masha hapa Nxamagana hatakiwi kabisa.

Kama Masha hatakiwi basi mshindi atakuwa mpinzani wake.
 
Kama Masha hatakiwi basi mshindi atakuwa mpinzani wake.
Tatizo la Wenje na CHADEMA hapa MZA sizioni juhudi zao kujitangaza na wala sioni mfumo makini wa kuwashirikisha raia kulinda kura. Nilikuwa Msoma last week, Nyerere pamoja na uhakika alionao anafanya kampeni ya nguvu sana na anawajengea raia uzalendo wa kulinda kura zao na people wamerespond positively saaana, tofauti na Wenje hapa Mwanza. Masha akishinda itakuwa kosa la CHADEMA NA SI WANANYAMAGANA.
 
Ww ni mwanaharakati au unareport tu? Kama unataka mabadiliko .....be part of it...sema ni nn wenje afanye we will support it.
 
Wenje inabidi aanze mikutano na kujitangaza kuwashawishi wapiakura kuwa yupo mkombozi wao hapo.

Watu wapo wengi Mwanza wa kumsaidia kuhesabu kura kama mawakala sasa ni yeye kuonyesha ana nia ya kumtimua Masha ambaye hakubaliki hata kidogo
 
Nadhani wana CHADEMA na hao wasiomuhitaji Masha ndio wenye jukumu la kumpa sapoti huyo LWENJE.
 
Nadhani CHADEMA hawapo kama team. Nilisoma hapa kuna kutofautiana kwa uongozi wa wilaya na Wenje. Hii tofauti kama ipo waiondoe haraka.
 
Wagombea udiwani wote wa Wenje wawe na active team za kuleta hamasa mitaani na pia wao wajiuze ili kupata idadi ya kura zenye uhakika.
 
Wenje aandae haraka utaratibu utakao wawezesha wananchi wote kuchangia kampeni zake.
 
Wenje aache kuridhika na ushabiki wa mitaani tu. Ahakikishe anakuwa karibu na watu wote kwa kufanya mikutano ya hadhara na ndani mingi kila mtaa.
 
Wenje atengeneze haraka timu ya vijana wa vyuo ambao wamenyimwa haki ya kupiga kura vyuoni wamsaidie katika kuleta hamasa.
 
Kwa hili la vijana wa vyuo Wenje nakuomba sana watumie marais wa wanavyuo hapo Mwanza kwani ni watu wako kama haufaham.
 
Mwisho kwa sasa, Wenje hakikisha unaongeza kwa uhakika idadi ya watu watakao kupigia kura.
 
Tatizo kama hilo lipo hata busanda,Finias magesa nae kama vile amechakachuliwa na lolensia bukwimba,wanachadema msishangae kulikosa hilo jimbo,hakuna juhudi zozote,poleni sana chadema
 
Tatizo kama hilo lipo hata busanda,Finias magesa nae kama vile amechakachuliwa na lolensia bukwimba,wanachadema msishangae kulikosa hilo jimbo,hakuna juhudi zozote,poleni sana chadema
Hawa CHADEMA vipi......??? Nilishawahi kushuhudia uchaguzi mwingine Songea. Chadema walishinda ila kazi waloifanya ilionesha kweli wanataka ushindi, sasa huku sijui Yahaya yule mzee mchawi keshawachakachua!! Mkishindwa mi nasema msitafute mchawi.
 
ataandaa vp wakati hana nyumba ya kuishu na kufanya vikao vya ndani....
 
Back
Top Bottom