Nina wasiwasi na tabia ya mshikaji wangu

Nina wasiwasi na tabia ya mshikaji wangu

masengenyo tu. fanyeni kazi, hamna opras nyie?

Hahaaaaa haaaaaaa... kingasti kitu cha opras daaaaaaa... Tumbo lankataaa mieee!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Halafu fikiria ana madevu madevu kama ukoko wa pilau au uchafu wa sumaku....arrrgghhh!!!

hapo chacha! au anamuwekea na kaua ka rose
aahahhahahhahah uuuwi!hebu nifanye kazi mie!see yu bidae mtani!
siku njema!
 
Nadhani ifike mahali tuheshimu uamuzi wa mtu as long yupo happy that's more important kwake na wewe cha msingi fuatilia vyako tatizo la culture ya tz haiheshimu maauzi binafsi

awe happy yeye bana! na matwaarab yake,kidole juu ashike kiuno anyonye kidole arembue macho,afanye vyovyote lakini sio kuwatumia wanaume na kengele zao sms za kibatuli batuli!
 
"Sorry, jmoc naweza kwenda nawe dinner Serena? plzzzzz dear!!!"....
mtani imagine ndio kidume chenye vifuko viwili vya mbegu kinaandika hivyo....halafu kuna mtu anataka tuheshimu uamuzi binafsi wa mtu, khaaaa!!! kama ni binafsi si ajitumie mwenyewe hiyo sms, kama ana line mbili atume kutoka line moja kwenda nyingine!!!!

si ndio namaanisha nilikumiss saa ngapi!mwe!habari nzito hii!
mtani hebu twende kumlipa mkoloni muda tuliomuibia jana!
ngastuka!
 
hapo chacha! au anamuwekea na kaua ka rose
aahahhahahhahah uuuwi!hebu nifanye kazi mie!see yu bidae mtani!
siku njema!

haya kazi njema....ila somo la leo huko wafundishe watoto wa kiume maana ya kuwa wanaume
 
Hebu tumia akili japo kidogo...mwanaume amwandikie mwanaume mwenzake SMS za mahaba na bado unatetea habari za uamuzi wa mtu....!!!!

Kaka ushoga upo na kama ni choice yake sawa tu tatizo bado haijazoeleka sana kwa tz tembea mkuu uone
 
Kaka ushoga upo na kama ni choice yake sawa tu tatizo bado haijazoeleka sana kwa tz tembea mkuu uone
nkheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh!
mh!yani hiyo ni heee ile ya kuanza kupaliwa!
 
"Sorry, jmoc naweza kwenda nawe dinner Serena? plzzzzz dear!!!"....
mtani imagine ndio kidume chenye vifuko viwili vya mbegu kinaandika hivyo....halafu kuna mtu anataka tuheshimu uamuzi binafsi wa mtu, khaaaa!!! kama ni binafsi si ajitumie mwenyewe hiyo sms, kama ana line mbili atume kutoka line moja kwenda nyingine!!!!

ahahahahahhahahhahahhahahahah mtaniiiiii!
af unanihoji kwanini nakumiss lol!
 
Aspen unatupotosha, hakuna cha uamuzi wa mtu, kata mabao huyo shwaini. Dume unatuma sms za mahaba kwa dume mwingine. Mhamishieni huku kwetu kama hatoacha kazi kesho.
 
hilo bwabwa wala haina mjadala
miss u kwa mwanaume mwenzie haa!
 
Nadhani ifike mahali tuheshimu uamuzi wa mtu as long yupo happy that's more important kwake na wewe cha msingi fuatilia vyako tatizo la culture ya tz haiheshimu maauzi binafsi

Eti...!?? maamuzi binafsi..!?? culture gani unayoiona haina tatizo mkuu,!?? ya uingereza na Cameroun..??
 
Kaka ushoga upo na kama ni choice yake sawa tu tatizo bado haijazoeleka sana kwa tz tembea mkuu uone

Sidhani kama nahitaji kutembea ili kujua kama mambo ya ushoga yapo....
Je, tutetee ushoga eti kisa mashoga wapo!!!
La hasha mkuu, hata ng'ombe dume hata siku moja hajawahi kumpanda dume mwenzake, na viumbe hao hawana utashi, si zaidi sisi wanadamu???
Huyo bwa mdogo inabidi akanywe, kama ni ubinafsi basi abakie nao yeye mwenyewe...
 
Kaka ushoga upo na kama ni choice yake sawa tu tatizo bado haijazoeleka sana kwa tz tembea mkuu uone

Mmmh... , maumivu ya kichwa huanza poole pole......

source: Baba V
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mkuu ila itafika mahali uhuru na maamuzi ya mtu yaheshimike
 
....so long as wewe unatatizika lakini hukuona ubaya wowote mpaka ulipoambiwa na associate aliyetumiwa sms, MIND YOUR OWN business... Ukifuatilia sana utajikuta labda office nzima nao wanaku define ndivyo sivyo all this time na 'mshkaji wako'
 
huyo yawezekana kazoezwa kuliwa na kula tigo,angekuwa hatumi sms ningemfikiria vingine kwa sababu nilishasoma na kaka mmoja kadekezwa mpaka kawa na mapozi ya kike,chakula chake chips,hawezi beba ndoo yuko legelege,anapenda kupiga story na wasichana,kushika kiuno,tembea na ongea yake sasa ndo usiseme lakini alikuwa hana huo mchezo mchafu ila malezi ndo yamemharibu lakini huyo mfanyakazi mwenzio nahisi ana mchezo mchafu mwanaume mwenzie anamtumia visms vya i miss you vya nini,ili iweje??????????????


Hujawahi kumwambia mwanamke mwenzio 'I miss u'? Wewe ni msagaji? Si vyema kuhukumu, ila nafanya kazi na jamaa mmoja kaoa juzi juzi, anapenda taarabu mwanzo mwisho. Siye wa bara, wa pwani ndo mambo yao. Ni aina flani ya malezi.
 
masengenyo tu. fanyeni kazi, hamna opras nyie?
King'asti, siyo masengenyo ndg, baadhi ya tabia zikioneshwa na mtumishi mwenzenu zinashusha sana hadhi ya wote, kwa kuwa kwa vyovyote mtatembea pamoja, mtajadiliana naye pamoja na vitu kama hivyo.

BTW: Form za OPRAS nshajaza mie, tena nimejiwekea ile alama 1: kutimiza malengo na kuzidi kiwango, na ile 2: kufikisha malengo kama yalivyopangwa....chezeya ijoz wewe...!
 
hapo chacha! au anamuwekea na kaua ka rose
aahahhahahhahah uuuwi!hebu nifanye kazi mie!see yu bidae mtani!
siku njema!

Nyie bandugu...mmesifanye wenzenu wapasuke kwa vicheko....!
 
Maumbile tu! Mungu alimchanganyia homoni, kapewa za ke yaani progesterone badala ya testosterone....nawafahamu vijana kama wawili nilikua nao miaka ya 84, hawakuwa mashoga ila tabia ndio kama za jamaa uliyemtaja, mmoja hadi leo kila akioa anaishia kuachika baada ya muda mfupi.

Kwa nini huyu anawatumia msg wanaume za i miss you hee labda
 
Back
Top Bottom