Nadhani ifike mahali tuheshimu uamuzi wa mtu as long yupo happy that's more important kwake na wewe cha msingi fuatilia vyako tatizo la culture ya tz haiheshimu maauzi binafsi
aspen nina wasiwasi unataka kupotea ni kweli maamuzi ya mtu ya maana na masafi lazima yaheshimiwe lakini sio mawazo machafu kiasi hicho yaheshimiwe.Anachokifanya jamaa huyo ni kuenda kinyume kabisa na uumbaji na mipangilo ambayo Mungu aliiweka kati ya me na ke,sasa je unafikiri bado tunapaswa kuheshimu maamuzi yake hata kama yako kinyume na muumba mwenyewe?Ni kweli mkuu ila itafika mahali uhuru na maamuzi ya mtu yaheshimike
masengenyo tu. fanyeni kazi, hamna opras nyie?
Hujawahi kumwambia mwanamke mwenzio 'I miss u'? Wewe ni msagaji? Si vyema kuhukumu, ila nafanya kazi na jamaa mmoja kaoa juzi juzi, anapenda taarabu mwanzo mwisho. Siye wa bara, wa pwani ndo mambo yao. Ni aina flani ya malezi.
Hahahaah!! Hii safi sana.Test hypothesis: akipita mbele yako mminye kalio... afu ulete mrejesho humu.. tufanye unyambulisho..
Msaada wa mawazo tunampa huyo au wewe? pambanua
Test hypothesis: akipita mbele yako mminye kalio... afu ulete mrejesho humu.. tufanye unyambulisho..
Hii Pilau ina walakini na huu mpunga uliotumika kuipika una walakini (Hekaya za Abunuwas)
Thubutuuuu....! Mambo ya kutest hypothesis kwa kumshika mtu kabaang....!...unaweza kufanya mtu akasirike afu akupige kwa kutumia sponge bure....