Nina wasiwasi na hizi taasisi za kiraia zinazofufua katiba mpya

kilicho

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
1,117
868
Nakumbuka mapema kabisa raisi pombe magufuri alisema katiba mpya sio kipaumbele chake,,na ukiangalia mtindo na aina ya uongozi wake raisi wetu umefanya hata taasisi za kidini kuwa ngumu kumkosoa tofauti na kipindi cha JK 2 ,maasikofu masheghe walikuwa wazi kabisa kumkosoa .taasisi za kidini na za kiraia zimekuwa na uoga wawazi kumkosoa raisi,sasa kuna wimbi la taasisi za kidini na za kiraia hivi karibuni zimeibuka kwa ghafla kudai katiba mpya,hii naiangalia kwa jicho la tatu huenda nijanja ya ccm kuwatumia hizi taasisi za kiraia na kidini kuonyesha utawala huu unazingatia maoni na Uhuru wakujieleza kwani hapa katikati serikali imekumbwa na shutuma za kuminya Uhuru wakujieleza,ukiangalia katiba mpya ilipoishia nakugomewa na vyama vya siasa kwa sababu haikuzingatia maoni ya wanachi kwa kiasi kikubwa,,so ccm imeona haina chakupoteza kufufua huu mchakato pale walipoishia.
 
Hujitambui weye! Tunachotaka Watanzania siyo katiba nyingine iliyoandikwa na wahuni, wezi, mafisadi, waongo wa Majambazi bali tunaitaka katiba mpya ya rasimu ya Warioba. Hicho ndicho tukitakacho usizungushe maneno.

Unadhani inawezekana hiyo?? Wakati tayali ccm rasimu wa warioba washaichakachua??
 
Back
Top Bottom