Hakika sina shaka na ninachokisema kama unasikia mahojiano hayo yanayoendelea au umeyasikia japo kidogo unaweza kuamini hayo ninayosema
Huyu Jamaa ni mtunzi mzuri wa story maana anayoelezea huku ni shida over Shigongo .
Nilikuwa namsikiliza ila nimeona anasimulia story badala ya kujibu maswali,
Nimeachana nae napiga Job now.
True kabisa asee haujakosea ila ni muuandaaji mzuri wa Screep bongo movie wachukue story anayosimulia watatengeneza movie Kali sana.Kwani Mtu akishakuwa Bashite / Zero brain anaweza kweli akajibu maswali au hata akajenga hoja mbele ya Werevu?
True kabisa asee haujakosea ila ni muuandaaji mzuri wa Screep bongo movie wachukue story anayosimulia watatengeneza movie Kali sana.
Mi siwalaumu sana mkuu tatizo ni kukosekana kwa ushirikiano kwa baadhi ya media hapa bongo.Naona Sahara Media wameamua rasmi kujilipua Mkuu.
Mi siwalaumu sana mkuu tatizo ni kukosekana kwa ushirikiano kwa baadhi ya media hapa bongo.
Tamaa pia imechangia naamini wamepewa hela ya kutosha sana,lazima star TV watakuwa wamepiga pesa ndefu.
Watu wali mmis mheshimiwa.Kumbe mnamuangalia huko? Haya semeni kasemaje ili nasi humu tutiririke na tuserereke vizuri.