Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 5,937
- 10,815
Walio tajwa na Lissu Jana yakuwa wako ukonga wameukumiwa kunyongwa ndio wakina Soka,kipanya na wenzake paspo kumsaau mdude nyangali
Najiuliza wanafanya hivyo mnapata Nini mbele za Mungu Muumba mbingu na Nchi?
Natoa Rai kwa Mh Rais mnyonge Tundu Lissu Ili uepuke kuvuliwa nguo dhidi ya uovu ULIO kwenye magereza