Tized
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,025
- 5,973
:yo::yo::yo:
Hekima zako nimezimisi sana.
Hekima zako nimezimisi sana.
that shows highest degree of desperation.
kama she trust herself kuwa cutie hilo nalipenda sina ubish nalo but kutokupata patna is something else ama ni binti maringo sana ama ana class anazozitaka na ambazo ni rare kuktana nazo. ama la ana evil sprits za kutokukubalika na sijui hii utaisemaje but ipo kwa baadhi ya watu.
watu wa namna hii hawapati acceptance no matter what they do, always wanakuwa rejected hata kama ni kazini ama mtaani na kadhalika. this needs spiritual deliverance.