Nina vigezo vyote

Nina vigezo vyote

mnh sema unataka PM tu,umedoda lol pole kwa gundu nachojua hata humu huitaji kuwanasa kila kitu kiko wazi,ataangalia profile lako ataangalia michango yako kisha huyooo atakucontact akipenda:tape2:
 
kuna kitu kinamiss kwako,inabidi uwe mmbea kidogo kaa sana saluni piga domo na mashosti wenzako,utajua nini kinamiss
 
mnh sema unataka PM tu,umedoda lol pole kwa gundu nachojua hata humu huitaji kuwanasa kila kitu kiko wazi,ataangalia profile lako ataangalia michango yako kisha huyooo atakucontact akipenda:tape2:
haha umefuata mtiririko wa critical thinking,1st premise,2nd premise then ume draw conclusion
 
Jenu naona kama una haraka sana maana naona ni mara kama ya tatu una post kitu chenye maudhui yale yale! Hebu vuta subira me naona ujachelewa kama unavyo dhani na bila shaka wakati wako haujafika, hauko peke yako wenye umri kama wako wengi na wanasubiri na watapata! Bila shaka utapata hitaji la moyo wako!
hajachelewa miaka mi5 mhh wewe hujui stress za kutokuwa na mpenzi!
 
Back
Top Bottom