Don Mangi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,198
- 852
Wakuu, baada ya kampuni inayojiita Viettel Tanzania kutangaza kazi nyingi na watu kuzipaparikia knimekuja na observation zifuatazo naona hii ni kwa faida ya wanaotafuta kazi...As a man I stand to be corrected:...
Nna wasiwasi na hii kampuni, I swear I can smell a rat here and the rat is damn close.
1. ni nani ameshawahi kufika kwenye hizo ofisi hapo Migombani?? Plot no 145?? Mbona kama Migombani hiyo plot no 145 ni ya kitu kingine??
2. inakuingiaje akilini kampuni kubwa kama hiyo kutumia domain za gmail.com???
3. Cross checking with kampuni zinazoruhusiwa kufanya huduma za mawasiliano na TCRA hiyo Vietel Tanzania hai exist(labda kama hawaja update list yake)
4. Huyo HR anaitwa Frank tu...hana baba, any company with international reputation lazima ikupe contacts zenye uhai, simu ya mezani, na kadhalika.
5. kampuni ya communication inaajiri watu wa "Construction"??really?? .na siyo "Civil" (no fooling me asee), cheki hiki kingine tena eti inaajiri watu wa "Logistics" seriously??? waende kusambaza hiyo 3g kwenye maboksii???
6. Form za application zinawekwa Rapidshire na media fire??? siri za kampuni kama hiyo unaweka kwenye mitandao ya file sharing???(Oh nooooo) I guess my mama gave birth to a genious.
7.Organisation yao haijajipanga vizuri, angalia maneno kama "Candidates who applied first will be interviewed first" hivi organization gani inaweza kupoteza muda kama huu, kampuni nyingi zinapofanya mass reruitment zinafanya kama walivyofanya Camusat...sio huu ujinga wa Frank hapa mtandaoni
Caution.
Kwa wale ambao hamjui wezi, jaribuni kuuliza kwa watu experts wa mitandaoni,usijikute unatuma taarifa zako kwa mikono isiyo salama ukaanza kutapeliwa pesa zako bure.
Nakaribisha watu wengine wenye mtazamo kama huu au tofauti na wa kwangu ila wenye lengo la kujenga.
kwa observation nilioifanya kwa kipindi kifupi tu kama dakika kumi nimeweza kutambua kuwa hawa VIETEL TANZANIA ni MATAPELI wa kutupwa na trust me watu mtalizwa humu msipokuwa makini na makanjanja wa namna hii. ( I guess with this observation Im ready to be hired as a fraud investigator)