Nina uhitaji wa bati za Msauzi

Nina uhitaji wa bati za Msauzi

kilama

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
2,824
Reaction score
2,199
Ndugu Wapendwa ni matumaini yangu mu wazima na AFYA tele, na kwa Wenye matatizo ya kiafya Mungu mwenye Rehema na awajalie AFYA Imara kwa mapenzi yake Matakatifu.

Kama mada inavyojieleza nina Uhitaji huo wa bati za Msauzi n nilibahatika kusoma andiko la Biashara ya hizo bati na nilifanya mawasiliano na muhusika ila katika mazingira yasiyotegemewa mawasiliano yake yakanipotea. Tangazo la awali lilikuwa linahusu uuzaji wa bati za msauzi na kukufikia popote ulipo.
 
Back
Top Bottom