NIMEOMBA UHAMISHO PROCESS ZOTE HALALI NIMEPITIA. Kama vile barua zote za kuhama kutoka nilipo na kuhamia ninapokwenda nimepata na nafasi ipo ya kuhamia. nimeambatanisha nakala zote zinazotakiwa isipokuwa sina barua ya kuthibitishwa kazini kwasababu nimeajiriwa mwaka huu mwezi wa tano.. iyo tu sina batua yake . nimesikia baada ya mwaka ndo zinatoka. je naweza kufanikiwa kupata kibali cha kuhama? nina wasiwasi . lakini barua yangu inasababu maalum ya kifamilia nilioandika hata nikapata nafasi ya kuhama na kuhamia.