Ww bwana unaonena ni mchepuko!! Sisi wa taalamu tunajua.Mwisho wa mwezi na huwa inakuwa siku tano au nne na sikai na mume na sijawah kufanya nae mapenz
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaiita kukaanga kizazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww bwana unaonena ni mchepuko!! Sisi wa taalamu tunajua.Mwisho wa mwezi na huwa inakuwa siku tano au nne na sikai na mume na sijawah kufanya nae mapenz
Sent using Jamii Forums mobile app
jf [emoji3][emoji3]
ameamua na akae kimya tu sasa maana ameshajichanganya....ni heri angesema ni yeye tangu pale mwanzo.
Mwambie atumie moringa powder atakuwa anaingia kwenye siku zake kwa mpangilio sahihi.Nina ndugu yangu hajaingia period mpk dakika hii na cha kushangaza hajawah lala na mwanaume yoyote yule lakin mwezi wa pili aliingia je shida inakuwa iko wapi hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Una umri gan?Nina ndugu yangu hajaingia period mpk dakika hii na cha kushangaza hajawah lala na mwanaume yoyote yule lakin mwezi wa pili aliingia je shida inakuwa iko wapi hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app