Doreen20
Senior Member
- Oct 12, 2018
- 137
- 77
Nina ndugu yangu hajaingia period mpk dakika hii na cha kushangaza hajawah lala na mwanaume yoyote yule lakin mwezi wa pili aliingia je shida inakuwa iko wapi hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app