Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,534
Ingekuwa shida ni yako ningepambana kwa hali zote ili uwe sawa. Kama ni mtu mwingine acha apambane na khali yake
Siyakudumisa Thixo
Nina ndugu yangu hajaingia period mpk dakika hii na cha kushangaza hajawah lala na mwanaume yoyote yule lakin mwezi wa pili aliingia je shida inakuwa iko wapi hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyakudumisa Thixo