Nina swali moja tu

Nipo bi dada .. sasa huyo aliyekuwa anauliza swali ana akili timamu kweli au ni ubishi tu?? Ni sawa sawa na kuuliza mwanamke alitoka kwa mwanaume AU mwanaume alitoka kwa mwanamke!!!

sijaelewa kabisa hilo swali lako sasa katika ulinganishi wa hapa
 
yaani mie nimerogwa
siwezi jibu swali kama hili straight
niombeeni tu
mwakani niache bhange
 
Back
Top Bottom