Nina swali la kisayansi kuhusu "tachi"screen

Kasongo

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2007
Posts
3,149
Reaction score
2,273
Jambo wote, nina swali kuhusu ufanyaji kazi wa hizi touch screens ziwe za simu, tablet, nk.Awali nilidhani kitu chochote kikigusa screen inareact kumbe hapani. Ukitumia kalamu au kitu chochote tofauti na kidole hazifanyi kazi. Sasa najiuliza humu kwenye screen kuna sensors za damu au ni nini? Au ni mambo ya electrical conductivity (neg pole + pos pole). Watalaam wa elekroniki karibuni.
 
kwa Lowassa ana touch screen mkuu!! ngoja leo ipite kwanza
 
hizi ni touch screen za sasa lakini nakumbuka za zamani simu zilikuwa na kakaramu kwa pembeni ilikuwa hata kijiti unatumia tuu fresh.

hawa wazungu hakika watatumaliza hawa
 
Jambo wote, nina swali kuhusu ufanyaji kazi wa hizi touch screens ziwe za simu, tablet, nk.Awali nilidhani kitu chochote kikigusa screen inareact kumbe hapani. Ukitumia kalamu au kitu chochote tofauti na kidole hazifanyi kazi. Sasa najiuliza humu kwenye screen kuna sensors za damu au ni nini? Au ni mambo ya electrical conductivity (neg pole + pos pole). Watalaam wa elekroniki karibuni.

Fanya test nyingine uguse kwa kutumia mguu au mkono wa kiumbe mwingine kama vile pusi, mbwa, kuku au bata! Halafu leta mrejesho!
 
Zipo za aina nyingi hizo tachi screen

-resisistive touch screen- zenyewe si rafiki WA kidole ila ukigusa na kalamu au kucha zinafanya vizuri, zilikuwa zikitumika miaka ya zamni.

-capative touch screen- hizi ndio unazozungumzia wewe zinazotumika sasa Ni rafiki WA kidole na kalamu zake Ni special maarufu zinaitwa stylus (capative).

Hizi capative wanaeka layer ya conducter kwa juu ili kidole kikigusa kioo kijue kimeguswa wapi na kurespond kutokana na kilivyoguswa
 
Static electricity inausika hapo. surface ya screen yako ya simu inaumeme kidogo(static) ambao ni constant katika kioo kizima. ata sis binadamu ngozi yetu pia ina umeme kidogo(positive au negative), sasa ukigusa kwenye surface ya simu unasababisha distortion katika sehemu uliyogusa, distortion hiyo itasababisha pd kubadilika katika sehemu uliyogusa.. simu itatambua sehemu hiyo kwa kukalculate coordinate

vitu kama pen za plastic havina charge nying ya kusababisha distortion
 
Jambo wote, nina swali kuhusu ufanyaji kazi wa hizi touch screens ziwe za simu, tablet, nk.Awali nilidhani kitu chochote kikigusa screen inareact kumbe hapani. Ukitumia kalamu au kitu chochote tofauti na kidole hazifanyi kazi. Sasa najiuliza humu kwenye screen kuna sensors za damu au ni nini? Au ni mambo ya electrical conductivity (neg pole + pos pole). Watalaam wa elekroniki karibuni.

Vipi kuhusu automatic doors, jibu unalo tayari? Vipi kuhusu taa zinazowaka mtu anapopita? vipi kuhusu taa zinazowaka na kuzimika zenyewe jua linapozama na kutoka?
 
Mh! anza kujibu swali lake la msingi kwanza kisha hivyo vingine utamwongezea
 
Vipi kuhusu automatic doors, jibu unalo tayari? Vipi kuhusu taa zinazowaka mtu anapopita? vipi kuhusu taa zinazowaka na kuzimika zenyewe jua linapozama na kutoka?

Taratibu mkuu ngoja tupate jibu la huyu harafu na wewe uulize yako
 
pia me nadhan kuna uhusiano na Fe2+ kwan ndan ya dam kuna hyo cation ya Fe. nafkiri touch ni rich ktk electron hivyo kufanya vidole na sehem zenye dam kisense lkn ktk sehem zisizo na damu hazsense. pia ukijaribu hata baadhi ya majan yanayoaminika yana madin ya chuma kama vile mchicha, majan ya maboga matembele na vngine vinasense katk screen touch. kutokana na hivyo nahis kunauhusiana na madin ya chuma
 
Hapo jibu ni umeme, mwili wa binadamu ni conductor wa electricity, hizi touch screens za siku hizi ni conductive, kinachotokea ni ukigusa screen, charge ndogo sana inapita kutoka kwenye screen kuja mwilini, that means kunakua na potential drop kwenye point flani kwenye screen.

Sasa kwa kawaida kila screen hua zimepimwa, software inatambua screen resolution na position ya display pixels zote, inachofanya ni triangulation tu kujua point gani hiyo potential drop imetokea. Software nyingine zote ambazo zinarun kwa wakati huo basi zitareact accordingly, kama zilikua zinasubiri event ya touch basi inatumwa.
 
Static electricity inausika hapo. surface ya screen yako ya simu inaumeme kidogo(static) ambao ni constant katika kioo kizima. ata sis binadamu ngozi yetu pia ina umeme kidogo(positive au negative), sasa ukigusa kwenye surface ya simu unasababisha distortion katika sehemu uliyogusa, distortion hiyo itasababisha pd kubadilika katika sehemu uliyogusa.. simu itatambua sehemu hiyo kwa kukalculate coordinate

vitu kama pen za plastic havina charge nying ya kusababisha distortion

nkitumia conductor yoyote out of human body let say silver or copper ita respond?
 
Vipi kuhusu automatic doors, jibu unalo tayari? Vipi kuhusu taa zinazowaka mtu anapopita? vipi kuhusu taa zinazowaka na kuzimika zenyewe jua linapozama na kutoka?

Application of Sensors
 
Back
Top Bottom