Nina swali kwenu wadau

Nina swali kwenu wadau

Yaani wanaume bhn wanazanigi mtu akiwa chuo basi anafanya starehe zote
Mkuu inategemeana na malezi na mtu alivyojitambua

Mimi ni mfano japo mtu hawezi kuamini ila mimi nimesoma miaka 3 bila ku date nimetoa virgin yangu after miezi3 baada ya kumaliza university..

Watu wapo na wanajitunza mkuu 🤭
 
Mwache aende chuo bwana, sema kusoma mtu mzima full changamoto, full kusinzia 😆 🤣, kama alivyosema dada hapo onyesha unam support na kum encourage asome, unaweza kuonyesha commitment kuwa hata baadae akimaliza masomo mtakuwa pamoja, akielewa hilo atakuwa focused. Ukimuonyesha upo kumtumia tu huna future nae sahau yeye kuwa loyal kwako.
 
.
 

Attachments

  • Screenshot_20250622_224508_Instagram.jpg
    Screenshot_20250622_224508_Instagram.jpg
    601.5 KB · Views: 16
Juzi kati niliingia chuo flan hapa dar…aisee watoto wa kike wanatakiwa kua na akili ya ziada nilijionea mengi mpaka nkasema bora sisi tulimaliza enzi kidogo hakuna ushawish sanaa tulikua kama vile tuko level moja flan hivi sasa hivi unakuta first year anapush range la dingi au anapush Mercedes ya bro…aisee mabinti wasopokua na akili akimaliza chuo kawa bibi wadogo zangu mungu awatangulie tu mnasoma kwenye zama za vishawishi vingi mno
 
Back
Top Bottom