Nina swali kuhusu Kujichua (Punyeto)

Nina swali kuhusu Kujichua (Punyeto)

JerkOff...

Ujana Unamengi.

Mabadiliko Ya Mwili Wakati Wa Ujana huleta Mambo Mengi & Vituko na Majanga mbalimbali.


Bahati Mbaya Jamii Yetu, Mabadiliko ya Mwili kwa Vijana Wengi Hupambana Wenyewe.


Ukiuuliza/Ukifanya Utafiti Vijana katika Jamii yetu walivyokabiliana na Mabadiliko ya Mwili Wengi ni siri nzito...
 
JerkOff...

Ujana Unamengi.

Mabadiliko Ya Mwili Wakati Wa Ujana huleta Mambo Mengi & Vituko na Majanga mbalimbali.


Bahati Mbaya Jamii Yetu, Mabadiliko ya Mwili kwa Vijana Wengi Hupambana Wenyewe.
Jamii haijali kabisa hii mzee
 
Nakumbuka nliulizaga njemba flan...manii ndo nini....!!akanielekeza njia kisha akasema "kitakchotoka nd manii"

Safari ikaanzia hapo
Ukaliuliza 'Njemba' manii ni nini na lenyewe likakuonesha njia,
Basi sawaaaa.
 
Kwenye adolescence stage mtu anakuwa attention na viongo vya uzazi,yaan hakili yote inahamia huko,ndio mwanzo wa nyeto
 
Mara ya kwanza nlisikia muasho wa nyege kwenye ukuni then nkajikuna but nkahisi utaaaaam fulan hv,

siku iliyofuata ikawa mtoto wa nyoka hafundishwi kuuma
 
Back
Top Bottom