Gustavo Gaviria
JF-Expert Member
- Nov 19, 2018
- 633
- 1,119
- Thread starter
-
- #41
Tabia yake ni hii hii tangu kabla ya mimba mwaweza weka appointment ya kukutana sehemu fulani, akifika tu anakuambia me naondoka, yaani ni mwepesi wa kugeuza njia, kuna kipindi tulikorofishana ndani ya week akaanzisha mahusiano mapya na watu wawiliawali ya yote mkuu pole kwa hayo,
naomba historia fupi ya mchumba wako, kabla ya mimba ali kuwa na tabia za namna hiyo na mabo mengine ya tabia maana tunaweza sema hakufai kumbe hasira anapata kutokana na ujauzito huo, historia itasaidia mkuu
Soon naondoka nimpe likizo.It must have been love, but it`s over now! Huyu binti anakuchezea akili tu, actually ana enjoy sana reactions zako. Funga virago mkuu.
Hahaha umejibu vyema mkuu.. Yan kuna watu wana comment as if wao hawajawahi kufanya uzinzi au uasherati..Sawa mkuu.
Hapo galilaya mnaendeleaje.
SawaStress free.
asante kwa ushauri mkuuMpaka kakubali kukubebea mimba, anakupenda. Namna utakavyo react kutokana na action zake, kunaweza kukapelekea mkaachana. Namna nzuri ya kuachana nae, subiri akishajifungua, hudumia kachanga, pima uelekeo. Ikiwa hali bado tete, tafuta mpango wa kando. Ukiona huko kuna afadhali, hamishia majeshi.
Tabia yake ni hii hii tangu kabla ya mimba mwaweza weka appointment ya kukutana sehemu fulani, akifika tu anakuambia me naondoka, yaani ni mwepesi wa kugeuza njia, kuna kipindi tulikorofishana ndani ya week akaanzisha mahusiano mapya na watu wawili
Lazima akutafute tu!! huenda hizo ni complications za ujauzito tu!!Thanks mkuu ngoja nimpotezee kwanza kama miezi sita tumbo lijae akae sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina uhakika kuhusu hilo ila aliniambia kuwa wako mbali, sina jibu sahihi maana huwa simuamini mwanamke.Wote hao walitembea naye?
Acha ujinga, usishindane na mwanamke utaumia wewe! Ukitaka kuachana na mwanamke unamtafutia kaburi anaingia unafukia! Ukijidai kumuacha atakutesa mpaka ujitie kitanzi (yashatutokea) hasa kama umezaa naye ni balaa. Jifanye mjinga hadi mtoto azaliwe. After all ni muda Krupp tuhapana, nimeamua kweli kuignore alee mwenyewe anavyotaka, maana siwezi force mambo.
huyu hajibu sms wala kupokea simu inakuwaje? niendelee kunyenyekea?Acha ujinga, usishindane na mwanamke utaumia wewe! Ukitaka kuachana na mwanamke unamtafutia kaburi anaingia unafukia! Ukijidai kumuacha atakutesa mpaka ujitie kitanzi (yashatutokea) hasa kama umezaa naye ni balaa. Jifanye mjinga hadi mtoto azaliwe. After all ni muda Krupp tu
pole mkuu Mungu yu pamoja naweTabia yake ni hii hii tangu kabla ya mimba mwaweza weka appointment ya kukutana sehemu fulani, akifika tu anakuambia me naondoka, yaani ni mwepesi wa kugeuza njia, kuna kipindi tulikorofishana ndani ya week akaanzisha mahusiano mapya na watu wawili
Sina uhakika kuhusu hilo ila aliniambia kuwa wako mbali, sina jibu sahihi maana huwa simuamini mwanamke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Story ya upande wa pili ni complicated kidogo ila nahisi hanihitaji na mimi nimeamua nipotezee tuMakosa yalishafanyika, usiongeze kosa kwa kujipa stress za kuishi na mtu ambaye kakoenesha kwamba hakuhitaji tokea mwanzo. Unaweza kuendelea kumpa sapoti akijifungua mtalea, ukiona anasomeka unaweza kumchukua, ila ikiwa ataendelea hata baada ya kujifungua angalia sana.
Ingawa kwenye ile screenshot inaonekana ni kama umekataa kutambulishwa kwa wazee isipokuwa kwa kaka tu (kuna story upande wa pili).
Story ya upande wa pili ni complicated kidogo ila nahisi hanihitaji na mimi nimeamua nipotezee tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena mkuuChill, fanya kulingana na unavyohitajika.
Lakini focus kwenye mawazo kwamba siye utakayeishi naye.
Ndugu mwanamke wa aina hiyo hutakiwi kumnyenyekea. Huyu anataka akuweke chini yake. Mwambie kama vip pita hiv. Mwenyewe atarudi chini.Habari za wakati huu.
Ninaandika hapa nikiwa na msongamano wa mawazo mengi, huyu mwanamke ambaye ni mpenzi amekuwa akinipasua kichwa sana, ni mwepesi wa kubadili maamuzi bila kufikiria kuwa ni kiasi gani inaweza kutugharimu.
Ana ujauzito wangu ila kila tutakapokwaruzana anakimbilia kusema atalea mwenyewe hahitaji msaada wangu wala hanitegemei sana, nikitaka nijitoe tu, sasa nabaki na maswali, mwanangu nahitaji tumlee pamoja wazazi wake wawili, ikiwa nina mpango wa kumuoa nije kuishi naye, ila najiuliza sana kama tutafika mwisho wa safari, ili yeye aendelee kuwa na mimi inanilazimu nimnyenyekee sana, hebu nishaurini wakuu nifanyaje maana nahisi kuchanganyikiwa.
UPDATE; Comment number 5 nimeweka screenshot ya maongezi.
Sent using Jamii Forums mobile app