Gustavo Gaviria
JF-Expert Member
- Nov 19, 2018
- 633
- 1,119
Done
Daah mkuu acha kabisa nalazimika kubembeleza mwanamke anishirikishe malezi ya mtoto ila anakuwa mgumu.HUYO ANA DAMU YA USINGLE MOTHER...MWACHE APAMBANE NA HALI YAKE...MTOTO AKIKUA CHUKUA ULEE MWENYWE
Sikitaka kuzaa na mwanamke mmoja then nikazae na mwingine tena mkuu bila ndoaTatizo wewe muoga sana
akisema atalea peke yake mwambie poa utalea kwani tatizo lipo wapi ?
unabembeleza sana au huyo mwanamke ni mzuri sana ?
Ila Mkuu inabidi pia utambue kwamba nwanamke mwenyr ujauzito ana kero sana sana sana sana....yani sana usipomvumilia unamuacha hivi hivi.
Same too mkuu ila nimeuanza vibaya.Happy New Year 2019....
Ulifuta nini hapo tueleze maana ulitakiwa ufute na iyo "you deleted this message"
Asee mkuu huyu simuelewi nia yake, alianza kusumbua muda!Mimba zinawavuruga hawa viumbe sometimes. Just be gentleman. Akiongea shit, mrushie vocha, halafu muulize umeipata mke wangu? Nakupenda sana.