Nyangeta Mussa
Senior Member
- Dec 8, 2014
- 199
- 127
Mkuu kutokufanya chochote ndio DALILI ya STRESS? Toa dalili usaidiwe.Hello wanajamvi
Naomba mnisaidie ni jinsi gan naweza kuhandle stress yaan kuna muda inafika nakuwa siwezi fanya chochote
Haaaahaaaaaaa nitajarubuuBangi inasaidia sana kuondoa stress,.....Jaribu kuvuta asubuhi na jioni kila siku kwa miezi miwili.
Usisahau kuleta mrejesho.
Najikuta tuu nipo hivsema kinaachokusumbua in detail
Hakuna inatokea tuusema kinaachokusumbua in detail
Sawa mkuuangalia chanzo cha stress zako then anza kutatua from there.
duh pole kama hujui chanzo basi kuna kitu unataka ujapata na hujui namna ya kukipataNajikuta tuu nipo hiv
tusubiri. lakini kuna harufu ya kibuti. Juma Ponda kagusa sectors nyingi sana!sema kinaachokusumbua in detail
Mhhhhh kutoka waptusubiri. lakini kuna harufu ya kibuti. Juma Ponda kagusa sectors nyingi sana!
duh juma hafanyi pouwatusubiri. lakini kuna harufu ya kibuti. Juma Ponda kagusa sectors nyingi sana!
Asantee mkuutafuta pesa stress zote zitakwisha siyo mnalala majumbani kama wagonjwa