shaban lee
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 303
- 919
Mkuu mbonaa haipo
Nimeweka tiyarMkuu mbonaa haipo
umekiweka wapi?Mkuu mbona tiyar nimeweka?
kama hichoKinafanana kam na hichii
tiyari nimeweka linkMbona hakuna
Shukran kwa ufafanuzi murwa kabisaNi sahihi kabisa kwani sheria ya hakimiliki inasema kitakuwa free kwa watu miaka 75 baada ya kuchapishwa kwake. Na Nyingine miaka 75 baada ya tarehe ya kifo ya originator hivyo hufanyi kosa la jinai kukiweka hapa hizo hadithi ni za miaka mingi sana
Mkuu unaweza ukatuwekeaJe, ni sahihi kukiweka hapa? Au maana nimetamani pia wanajukwaa tuburudike pamoja. Kitabu cha mashimo ya sulemani nikitabu bora sana japokuwa ni cha kizamani sana.
Tiyar mkuu ipo hewaniMkuu unaweza ukatuwekea