Nina siku 4 tangu niende kwa Malaya

Wanajamvi habarini, juzi kati nilikwenda kwenye moja ya machimbo maarufu ya malaya hapa Dar, tulitumia kinga na kinga haikupasuka, ila tulidumu kwa muda mrefu kidogo, baadaye nikagundua kuwa kwenye uume shingoni kulikuwa na mchubuko, na baada ya kama siku mbili hivi naanza kuhisi macho yanakuwa kama mazito hivi, kichwa kinakuwa chepesi, uchovu kwa mbali basi. Hamu ya kula ninayo, nina dalili hizo tu... Nimeanza kuogopa muda huu, yaani natamani kulala kila muda.

Hypochondriasis hiyo mzee, wacha mawazo yasiyo na maana,ulitumia kinga, jiamini uko vizuri.
 
Wanajamvi habarini,

Juzi kati nilikwenda kwenye moja ya machimbo maarufu ya malaya hapa Dar, tulitumia kinga na kinga haikupasuka, ila tulidumu kwa muda mrefu kidogo, baadaye nikagundua kuwa kwenye uume shingoni kulikuwa na mchubuko, na baada ya kama siku mbili hivi naanza kuhisi macho yanakuwa kama mazito hivi, kichwa kinakuwa chepesi, uchovu kwa mbali basi. Hamu ya kula ninayo, nina dalili hizo tu... Nimeanza kuogopa muda huu, yaani natamani kulala kila muda.
usijali mkuu, kondomu itakuwa ilikuchubua kwa vile ulikula muda mrefu,
 
Mkuu ilitakiwa ulete uzi kabla hujachukua action sas yashakukuta huko.
NB hayo ni mamb ya kawaida tuh mkuu…
 
Mkuu hali hiyo ishawahi nitokea...nilitafuna demu fulani alikuwa ni kicheche mtaani...niliogopa sana nilihisi nimeukwaa,,maana kuna kipindi nikawa kama naumwa ivi,,nikapungua uzito uzito,,,mawazo yalinitesa sana kwa muda mrefu...ikabidi nijitoe ufahamu niende kupima nikakutwa niko fresh...sina tatizo,,,,,kumbe Stress na vidonda vya tumbo ndo vilikuwa vinanisumbua ....Hofu ni kitu kibaya
 
Wanajamvi habarini,

Juzi kati nilikwenda kwenye moja ya machimbo maarufu ya malaya hapa Dar, tulitumia kinga na kinga haikupasuka, ila tulidumu kwa muda mrefu kidogo, baadaye nikagundua kuwa kwenye uume shingoni kulikuwa na mchubuko, na baada ya kama siku mbili hivi naanza kuhisi macho yanakuwa kama mazito hivi, kichwa kinakuwa chepesi, uchovu kwa mbali basi. Hamu ya kula ninayo, nina dalili hizo tu... Nimeanza kuogopa muda huu, yaani natamani kulala kila muda.
Alale pema peponi kamanda.
 
Kweli leo nimeamini Mungu fundi.. maana nasikiaga kwenye amri 10 za Mungu kuna amri ina sema USIZINI. asa nikawaza, alafu nikajiulza, kwann Mungu akataze huu mchezo? Sasa leo jibu nimelipata kwako mkuu
 
Wanajamvi habarini,

Juzi kati nilikwenda kwenye moja ya machimbo maarufu ya malaya hapa Dar, tulitumia kinga na kinga haikupasuka, ila tulidumu kwa muda mrefu kidogo, baadaye nikagundua kuwa kwenye uume shingoni kulikuwa na mchubuko, na baada ya kama siku mbili hivi naanza kuhisi macho yanakuwa kama mazito hivi, kichwa kinakuwa chepesi, uchovu kwa mbali basi. Hamu ya kula ninayo, nina dalili hizo tu.

Nimeanza kuogopa muda huu, yaani natamani kulala kila muda.
 
Location plz
 
Duh mkuu wanawake mtaani hakuna hadi ukalale na mwanamke wa kila mtu. Duh, mimi sijui nikoje aisee hao naona kinyaa kabisa as long as najua anajiuza sio salama kwa Matumizi sina hakika labda sababu mimi mzee wa pekupeku
Mpaka nipime naye laivu...tena hospitali ninayochagua mimi...kwa nini uchovye pale 100 wanapochovya? Hata kama ni njaa sio ya hivi...
 
Mkuu hali hiyo ishawahi nitokea...nilitafuna demu fulani alikuwa ni kicheche mtaani...niliogopa sana nilihisi nimeukwaa,,maana kuna kipindi nikawa kama naumwa ivi,,nikapungua uzito uzito,,,mawazo yalinitesa sana kwa muda mrefu...ikabidi nijitoe ufahamu niende kupima nikakutwa niko fresh...sina tatizo,,,,,kumbe Stress na vidonda vya tumbo ndo vilikuwa vinanisumbua ....Hofu ni kitu kibaya
Na stress ndo zinapoteza wengi
 
Mwaka jana mwezi wa 8 nilitingwa nikajitupa kwa malaya mmoja bonge la pisi matako mpililimpilili!!. Alipiga nguo za kubana hatari. Mdomo lipsi langi nyekundu la kufa mtu.
Sasa chimbani ndio nikayaona maajabu, aisee!! Tup! Tup!
Kumbe ule mdomo lipsi magumashi ulishaungua kitambo, shingoni ana kama majipu, matako yalishararuliwa na moto wa mungu, yani ngozi zinajibandikia tu ka samaki mfu.
Nguo ya juu aligoma kuivua nikahisi ana mkanda wa jeshi hataki niuone laivu.
Kwa sababu nilikuwa na nyege mshindo nilitoboa mara moja kwa umakini nikasepa.
Baada ya mwezi nikaenda kupima kujithibitishia afya nikawa safi(Condom zinaokoa, usiache ukiwa na malaya).
Mpaka leo sijawahi rudi kuopoa ni hatari unabip kifo huku unakiona mwe!
 
Sio kila demu ana ngoma, kwa nini wanawake wawe reference point ya ngoma ?
Hakuna siku utasoma humu jf kuwa nimetembea na demu namuhofia kumuambukiza ngoma bali ni kinyume chake tu, mfumo dume hadi kwenye ngoma!
Usiwe na hofu mademu wasio na ngoma ni wengi kuliko wenye ngoma, katika makuzi yangu nimepiga wengi bila ndom tena nyanda za juu kusini kunako ogopwa na mpaka leo mzima wa afya.
Kuna siku nilileta mada(Kuhudu Vigezo vya kupewa PEP) kama yako humu acha nishambuliwe mpaka nikajiona sifai ila kesho yake nikaenda kupima lengo nijue hali ya yule demu, matokeo yakawa okay!
Kwa hio unaweza mrubuni huyo dada mkapime oli ujiridhishe kama yuko okay!
Soku nyingine ndani ya masaa 24 wahi kwa dokta akushauri vizuri ikiwezekana upewe PEP japo sijui mashariti ya kupewa hio dawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom