Nina siku 4 tangu niende kwa Malaya

Duh mkuu wanawake mtaani hakuna hadi ukalale na mwanamke wa kila mtu. Duh, mimi sijui nikoje aisee hao naona kinyaa kabisa as long as najua anajiuza sio salama kwa Matumizi sina hakika labda sababu mimi mzee wa pekupeku
Yaani Uko kama mimi nikishajua anajiuza stimu zote zinakata hata awe pisi kali kivipi

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Kwaiyo ndugu unadhani hao wa kitaani ni wa kwako peke yako? Ni bora ujue kuwa huyu ni malaya ili upige kimalayamalaya
We jamaa inabidi uchongewe sanamu kabisa....

Bora upewe mapenzi na mwanamke ambaye unajua kabisa anakupa mapenzi Kwa sababu ya Hela zako, kuliko kupewa mapenzi na demu ambaye anakunafikia anakupenda kumbe na yeye she's after ur money
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom