Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
-
- #161
Hongera mama lakini usipende ukamaliza kwa mtu ikitomea shida kidogo gharama yake inakuwa kubwa sana kisaikolojia hasa kama ana mawe na ndiyo ulikufa ukaoza.
adam hakuepo?
iko wapi tena?
BW umenena haswaa anaweza akachanganyikiwa akamsahau aliyempa furaha
Hehehe! Good night mpendwa!hahahahaha ndio kila kitu huoni ni mojawapo ya raha ya kaba hapo juu
hebu niPM id yako ya fb.
nimejifunza kutokana na makosa,hilo halitatokea
Hehehe! Good night mpendwa!
Mara baada ya kuingia mle bustanini akanipa cheo cha adam na hivyo kunipa heshima zote kama adam
nimishaanza kupiga ndogondogo hebu malizia mwenyewe usisahau kumwonyesha unafaranga hahahahahah
Kama nimekupata unauliza hiyo Subaru iko wapi? Nilikusudia uzi wako unakimbia sana kama speed ya Subaru ikiwa barabarani tena kwenye mashindano. Upo?
Hehehe! Good night mpendwa!
unataka kubadilisha aina ya raha
unataka kubadilisha aina ya raha
Kuna mtu kanitonya eti penzi hilo umeliwekea insurance mpaka kieleweke tena ni comprehensive kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeh, kweli niamini hutaki mchezo safari hii.
ulale unono uote umepata raha :lol::lol:
basi vizurii,ukienda tena mwambie namsalimia
Kwa suala la faranga hapa halina tatizo zipo hata za majini kwani atajua? Ngoja nije nitest zari
huyo nani aliekutonya?au nitonye?
Akinikaribisha tena nitamsalimia maana hamchelewi kugeuka mnajijua wenyewe