habari wana jf, nina kaka yangu ana division 1 point 11 O-level, division 1 point 9 A-level (HGE), 3.9 GPA (ECONOMICS) na academic awards 3 tofauti. lakin bado mpaka sasa hajafanikiwa kupata kazi mpaka. naombeni msaada wenu katika hili jaman. nitathamini sana michango yenu ndugu zangu
Asante
Asante