Kwel kabisa mkuu, mmoja ashawahi kuniambia ana miezi kadhaa hajawahi fika orgasmInavyoonekana wanawake wengi hawaridhishwi ndani ya ndoa zao hadi kutafuta msaada 'kwa jirani' na hili ndio hasa linaongeza ushawishi wa kuvunjika kwa ndoa nyingi. Wanaume wengi wameendekeza mipombe na viroba kitu kinachowapunguzia uwezo wa kushughulikia wake zao... Kwa kweli hili ni janga...
Duh! Moja ya njia ya kuepuka haya matatizo ni kuwa na mke wako kama bado hujaoa. Pia usiweke ukaribu sana na wanawake kiasi cha kukupa mwanya wa kuzoeana nao. Cha tatu kumbuka kumwomba Mwenyezi Mungu akupe ujasiri wa kukabiliana na vishawishi na kuweza kuvishinda...Kwel kabisa mkuu, mmoja ashawahi kuniambia ana miezi kadhaa hajawahi fika orgasm
Asante mkuu, i shall work on thatDuh! Moja ya njia ya kuepuka haya matatizo ni kuwa na mke wako kama bado hujaoa. Pia usiweke ukaribu sana na wanawake kiasi cha kukupa mwanya wa kuzoeana nao. Cha tatu kumbuka kumwomba Mwenyezi Mungu akupe ujasiri wa kukabiliana na vishawishi na kuweza kuvishinda...
Asiposikiliza huu ushauri basi tenaDuh! Moja ya njia ya kuepuka haya matatizo ni kuwa na mke wako kama bado hujaoa. Pia usiweke ukaribu sana na wanawake kiasi cha kukupa mwanya wa kuzoeana nao. Cha tatu kumbuka kumwomba Mwenyezi Mungu akupe ujasiri wa kukabiliana na vishawishi na kuweza kuvishinda...
Kama wewe una pepo la kupendwa na wake za watu, Na waume zao wana mapepo ya kugegeda wizi wa wake zao.mume wake inaonekana ana matatizo ya kizazi.