Nina Pepo la kupendwa na wake za watu

Unapenda kupiga stori na wanawake wa watu na kuwapa umbeya. Jichunguze. Siku zote mwanamme au mwanamke akimzoea mke au mume wa mtu, stori za kawaida zikiisha huwa kinachofuata ni kutongozana. Na ndiyo sababu hata wanawake au wanaume wa watu hulala sana na marafiki wa wapenzi wao panapotokea mazowea yasiyo na mipaka.
Hapana mkuu, huwa sipendi kabisa na sina mazoea hayo, na sina mazoea na wanawake kabisa kwani olevel na advance nimesoma boys school na chuo kulikuwa na idadi ndogo sana ya wanawake(ratio 1 man : 10 women) na katika familia tumezaliwa wanaume tupu.
 
Habari wanajamvi,

Kwa kweli nina tatizo la kupendwa na wake za watu, na mpaka hapa nishachangia kuvunja ndoa tatu katika maeneo tofauti.

Na kwa sasa kuna wawili wananiwinda kwa udi na uvumba. Mmoja kati yao amesema yupo tayari tukacheki kwanza afya, baada ya hapo anataka nimpe ujauzito kwani mume wake inaonekana ana matatizo ya kizazi.

Nimeleta humu ili mnijibu, je hii hali inayonikuta inasababishwa na nini? Na pia naombeni ushauri ni kwa jinsi gani naweza jikwamua kutoka katika hali hii, kwa maana naumia sana na haya mambo, hata amani sina maana najiona ni mkosefu na mtenda zambi kuu, hivyo sitaki kuendelea na hizi habari.

Karibuni kwa ushauri, nishaurini bila kunionea aibu wala upendeleo.
Kwa kuwa unajua uko karibu kushinda, hiyo ni nusu ya ushindi. Sio rahisi kushinda mwenyewe. Omba Mungu hiyo tamaa ikuondoke. Kama unamuda nenda kwenye makanisa yenye nguvu ya Mungu hata kama hutamwambia mtu, lakini jipe comitment ya kuacha na huku ukiomba Mungu na kuhakikishia ituvuka.
 
Habari wanajamvi,

Kwa kweli nina tatizo la kupendwa na wake za watu, na mpaka hapa nishachangia kuvunja ndoa tatu katika maeneo tofauti.

Na kwa sasa kuna wawili wananiwinda kwa udi na uvumba. Mmoja kati yao amesema yupo tayari tukacheki kwanza afya, baada ya hapo anataka nimpe ujauzito kwani mume wake inaonekana ana matatizo ya kizazi.

Nimeleta humu ili mnijibu, je hii hali inayonikuta inasababishwa na nini? Na pia naombeni ushauri ni kwa jinsi gani naweza jikwamua kutoka katika hali hii, kwa maana naumia sana na haya mambo, hata amani sina maana najiona ni mkosefu na mtenda zambi kuu, hivyo sitaki kuendelea na hizi habari.

Karibuni kwa ushauri, nishaurini bila kunionea aibu wala upendeleo.

jamani wengine mna bahati yaani unapendwa na wake za watu...wewe tembeza mgegedo tuu
 
Aisee hii ilinikabili jamaa mmoja na kaka ake wake zao wote walikuwa wananipenda aise kwa bahati mbaya mmoja alimwacha mme wake akarudi kwao ili tu niwe nae ila bahati nzuri nilipata safari ya nje kidogo, yule wa pili alikuwa anakuja ndani kwangu na siku moja alinilazimisha ila nilichomoa nikajisemea asije akanipa ngoma kwande nje ikaanza kuwa shidah
Mkuu hawa watu achana nao tu, wana vihoja si kidogo. Mmoja aliwahi kunivizia nimeenda kuoga ile narudi namkuta yupo ghetto kitandani amejialaza akiwa na khanga tu, huku akiwa amejikausha ile mbaya utadhani yupo katikati ya usingizi mzito
 
Hapana mkuu, huwa sipendi kabisa na sina mazoea hayo, na sina mazoea na wanawake kabisa kwani olevel na advance nimesoma boys school na chuo kulikuwa na idadi ndogo sana ya wanawake(ratio 1 man : 10 women) na katika familia tumezaliwa wanaume tupu.
Ulichokieleza sasa hivi ndicho hasa kinachosababisha uwe karibu na wanawake. Hukuwa karibu na wanawake kwa kipindi ulipotakiwa kuwa nao karibu.
 
Mkuu naomba kuuliza yafuatayo:
1. Ulipoanza kujihusisha na mapenzi kwa mara ya kwanza, je ulianza kwa mke wa mtu?
2. Ulishajaribu kuwa na uhusiano na msichana ambayo sio mke wa mtu? How did you feel and how did it go
3. Nini cha zaidi ambacho unakipata toka kwa wake za watu ambacho unahisi unakikosa kwa msichana ambae hajaolewa?
4. Ushawahi waza siku moja kuwa ikitokea mume wa huyo mwanamke unaetembea nae akawafumania, je unajua atakacho kufanya? What if mkeo ndio angekuwa analiwa nje, je ungejisikiaje?
Ambacho unatakiwa kufanya na kufikiria yatakayokukuta pindi utakapufumaniwa na maana yale mafuta yanaweza kukuhusu kabisa. Ila pia hebu Muombe Mungu akusaidie katika hili maana kwa akili zako yanaweza kukukuta makubwa sana.
First date ilikuwa na msichana tu wa kawaida(sio mke wa mtu) na nimedate nao wengi tu, but lilipofika swala la mke wa mtu hawa watu wanajituma sana...yaan kungfu, mieleka, misamba wako poa sana.... Na hasa wananimaliza kwa hizi cheni au shanga za kwa kiuno.
 
inawezekana unapenda sana mteremko hutaki garama, muombe mungu sana akusaidie uoe
 
Habari wanajamvi,

Kwa kweli nina tatizo la kupendwa na wake za watu, na mpaka hapa nishachangia kuvunja ndoa tatu katika maeneo tofauti.

Na kwa sasa kuna wawili wananiwinda kwa udi na uvumba. Mmoja kati yao amesema yupo tayari tukacheki kwanza afya, baada ya hapo anataka nimpe ujauzito kwani mume wake inaonekana ana matatizo ya kizazi.

Nimeleta humu ili mnijibu, je hii hali inayonikuta inasababishwa na nini? Na pia naombeni ushauri ni kwa jinsi gani naweza jikwamua kutoka katika hali hii, kwa maana naumia sana na haya mambo, hata amani sina maana najiona ni mkosefu na mtenda zambi kuu, hivyo sitaki kuendelea na hizi habari.

Karibuni kwa ushauri, nishaurini bila kunionea aibu wala upendeleo.
 
Habari wanajamvi,

Kwa kweli nina tatizo la kupendwa na wake za watu, na mpaka hapa nishachangia kuvunja ndoa tatu katika maeneo tofauti.

Na kwa sasa kuna wawili wananiwinda kwa udi na uvumba. Mmoja kati yao amesema yupo tayari tukacheki kwanza afya, baada ya hapo anataka nimpe ujauzito kwani mume wake inaonekana ana matatizo ya kizazi.

Nimeleta humu ili mnijibu, je hii hali inayonikuta inasababishwa na nini? Na pia naombeni ushauri ni kwa jinsi gani naweza jikwamua kutoka katika hali hii, kwa maana naumia sana na haya mambo, hata amani sina maana najiona ni mkosefu na mtenda zambi kuu, hivyo sitaki kuendelea na hizi habari.

Karibuni kwa ushauri, nishaurini bila kunionea aibu wala upendeleo.

Mla vya wenzie na vyake huliws subiri na vyako vitaliws tena waziwazi. Nakushauri Okoka na ukaombewe uachane na hiyo tabia maana najua fika unatumikishwa bila wewe kujijua na unaona sawa. Siku wakigeuza kibao utajuta. Mungu hadhihakiwi wala kutaniwa sote tumeumbwa na yeye.
 
Habari wanajamvi,

Kwa kweli nina tatizo la kupendwa na wake za watu, na mpaka hapa nishachangia kuvunja ndoa tatu katika maeneo tofauti.

Na kwa sasa kuna wawili wananiwinda kwa udi na uvumba. Mmoja kati yao amesema yupo tayari tukacheki kwanza afya, baada ya hapo anataka nimpe ujauzito kwani mume wake inaonekana ana matatizo ya kizazi.

Nimeleta humu ili mnijibu, je hii hali inayonikuta inasababishwa na nini? Na pia naombeni ushauri ni kwa jinsi gani naweza jikwamua kutoka katika hali hii, kwa maana naumia sana na haya mambo, hata amani sina maana najiona ni mkosefu na mtenda zambi kuu, hivyo sitaki kuendelea na hizi habari.

Karibuni kwa ushauri, nishaurini bila kunionea aibu wala upendeleo.

Mla vya wenzie na vyake huliws subiri na vyako vitaliws tena waziwazi. Nakushauri Okoka na ukaombewe uachane na hiyo tabia maana najua fika unatumikishwa bila wewe kujijua na unaona sawa.

Siku wakigeuza kibao utajuta. Mungu hadhihakiwi wala kutaniwa sote tumeumbwa na yeye.
 
Wake za watu kweli ni watamu sana alafu hawana gharama na hutoa nzima nzima bila kinyongo lkn nakupa ushauri achana nao usije geuzwa Mchele mchele najua kuacha ilivokuwa ngumu xn
 
Mkuu...!

Sio kweli kuwa una nyota..
Unawatongoza.
Na kama wanakutongoza, ni wewe ndio unawatengenezea mazingira ya kukutongoza..

Ila nakuhakikishia mkuu..
Mwisho wako utakuwa ni mbaya sana.. kama utaendelea kutoa huduma kwa wake za watu..

USHAURI

Mkuu kaa nao mbali..
Badilisha mwenendo..
Bado tunakuhitaji..

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom