dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,937
- 8,358
Anzia hapo hapo mbele Joh atakazia
Denzel washington boss,au richie richie kwetu hapaRole model wako ni nani katika hiyo tasnia?
Sawa mkuu,wala siotiEndlea kuoata mkuu itakua kwel
Huo sasa utakuwaAnza kwa kuwa mchekeshaji unayepita mtaani kuchekesha watu.
Thanks mkuu,nashukuru sana,hopeful mdogo mdogo nitakuwa freshUlishawahi shiriki kwenye maigizo hata shuleni? Unaweza kuanza hata kitaa tu huku unajinoa taratibu
Mme mkuuKama wa kike peleka papuchi kwa mmoja ya manguli wa filamu.. kama tamu basi umeingia tayar kwenye tasnia.. waulize warembo wote hapa mjini watakwambia hiyo ndo njia rahisi kuliko zote. Mfano mzur Wema na Kanumba
Duh ndugu muogope muumba wakoUnataka kuigiza pornograph au?
Ninaweza ndugu,sijapata nafasi tuKama unahisi unaweza kubadili upepo uliopo ukawa mzur kwako na kwa wengine komaaaa kama huna kitu cha ziada kufanya iliubadilishe achana nayo ndoto sio mpaka utimize
Ninamaana sio tu kuigiza tu na kuifanya biashara yenye faida mfano kama chibu kwenye mzikiNinaweza ndugu,sijapata nafasi tu