Nina ndoto ya kuwa mwigizaji, nianzie wapi?

Nina ndoto ya kuwa mwigizaji, nianzie wapi?

Malcolm X5

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
1,643
Reaction score
2,769
Kwa kipindi kirefu nimekuwa na ndoto hii, ikienda na kurudi. Nashindwa wapi pa kuanzia.

Ni mpenzi mkubwa sana wa movies. Napenda sana pia kuigiza na imekuwa ndoto yangu ya muda mrefu sana.

So ndugu zangu naomba mnisaidie nianzaje?
 
Fungua akaunti instagram utakua unaonyesha acts zako.

Kama hauna vifaa tutabebana hivyo hivyo utakua unanilinda kidogo
Na mm nataka kuwa muigizaji mkuu
 
Amka kwanza inawezekana hii ni ndoto ya mchana acha kulala wewe amkaaaa!!!!!!!!!
 
Mwezi ujao naibuka
Juzi nimetoka gheto saa nane usiku nikaenda Komakoma kwa kazi mpya wakati wa kwenda nilipata bodaboda muda wa kurudi bodaboda hakuna nimerudi kwa miguu hadi mjengoni. Hiyo saa tisa usiku.
 
Kwa kipindi kirefu nimekuwa na ndoto hii, ikienda na kurudi. Nashindwa wapi pa kuanzia.

Ni mpenzi mkubwa sana wa movies. Napenda sana pia kuigiza na imekuwa ndoto yangu ya muda mrefu sana.

So ndugu zangu naomba mnisaidie nianzaje?

Nenda kwa balozi ukajisajili kwenye chama kwanza. Hatua ya pili ujiungamanishe na makada ili ujue mchezo. Baadaye utakuwa kada na utaanza kupangiwa nafasi,

Ni hivyo tu.
 
Back
Top Bottom