Nina mtu wangu

Nina mtu wangu

Ni kosa kubwa sana kumuuliza mwanamke kama ana boyfriend .... yaani kwa ma pro they dont do that.

Exactly, huwa atuulizi hilo swali. Mind your own business, focus on your business
 
Bila shaka kwa wanaume waliokamilika katika tongoza yenu mmeshawahi kukuta na majibu hayo je, huwa mnategua vipi majibu haya toka kwa wadada.

We mwambie hivi...

Hata kabla sijakufuata kukuambia nakupenda, nilianza kudhani kwamba huenda ukawa na mtu kwasababu ya uzuri ulionao. Endelea hivi....

Uzuri wako sio wa kawaida, ni dhahiri kwamba mwanaume yoyote mwenye macho yanayoona sawasawa hawezi kukubali upite mbele yake bila kukutongoza.

Sawa una mtu lkn please naomba unipe nafasi ya majaribio. Kipindi hiki cha majaribio hatutasex wala kukiss. Nakuhakikishia kwamba mwisho wa siku utaprove kwamba nakupenda zaidi ya huyo mtu wako.

Wewe ni wa pekee sana, hustahili kuchezewa kama unavyochezewa na huyo mtu wako, nathubutu kusema anakuchezea kwasababu alistahili awe amekuweka ndani.

Ntaendelea baadae mkuu...
 
Exactly, huwa atuulizi hilo swali. Mind your own business, focus on your business

wakati mwingine hata kabla hujafika huko anakuwa ashagundua nia yako fasta anakwambia nina mtu,, inabd uwe mpole hana interest kabisa na wewe
 
We mwambie hivi...

Hata kabla sijakufuata kukuambia nakupenda, nilianza kudhani kwamba huenda ukawa na mtu kwasababu ya uzuri ulionao. Endelea hivi....

Uzuri wako sio wa kawaida, ni dhahiri kwamba mwanaume yoyote mwenye macho yanayoona sawasawa hawezi kukubali upite mbele yake bila kukutongoza.

Sawa una mtu lkn please naomba unipe nafasi ya majaribio. Kipindi hiki cha majaribio hatutasex wala kukiss. Nakuhakikishia kwamba mwisho wa siku utaprove kwamba nakupenda zaidi ya huyo mtu wako.

Wewe ni wa pekee sana, hustahili kuchezewa kama unavyochezewa na huyo mtu wako, nathubutu kusema anakuchezea kwasababu alistahili awe amekuweka ndani.

Ntaendelea baadae mkuu...

Nasubiria umalize.
 
Back
Top Bottom