Nina mtaji wa sh. 60,000 nifanye biashara gani kwa Iringa?

Sawa mkuu. Kw


Mkuu kwa uzoefu wangu. Biashara yoyote inachukua miezi zaidi ya sita kujifunza. Ikidumu mwaka sio kwamba umepata faida, walau unakuwa umeijua.
Hivyo naona sii vyema kuanza na wazo jipya unapokuwa umepata mtaji, japo inawezekana lakini kuna hizo gharama za kujifunza utazilipa. Ila kama unafanya kitu ambacho umebobea unakua tayari umeshajua mengi na hivyo utaweza kuimudu.
Asante kwa maoni mkuu, tupo pamoja na BARIKIWA!
 
Vibanda vya ccm kuna mbuzi katoliki kama wote , jamaa akienda deals kama zote
Upo iringa sehem gani mtoa mada kama hujafungamana na dini sogeaga had pale vbanda vya ccm kuna mishe za kumenya viaz make sure unakuwa mwaminifu wahehe n watu wakarim sana..utapata tu mchongo amin ila usiwe na papara jichanganye hasa ..nikutakie kila la heri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom