Nina mpango wa kuanzisha cleaning services, mwenye ujuzi na biashara hii atupatie uzoefu wake

abdulqadirj

JF-Expert Member
Jan 8, 2021
1,020
3,207
Habari, nina mpango wa kuanzisha cleaning agency, so ninaombi kwa mwenye uzoefu ili nijue mambo mawili matatu.

1) Bei za usafi wa sofa na carpets.
2) Bei usafi wa nyumba nzima
3) Bei kung'arisha sink na tiles.

Na mengineyo mwenye kufahamu pia anisaidie hapo.
 
Mtafute Robert Heriel Mtibeli

Msafishaji nyumba.

Sahihi Kabisa.

1. Atafute vifaa vya usafi na mashine.
Hivi akiwa na milioni inatosha kuanza navyo.

2. Akasajili Brella na apate leseni. Hii haizidi 300k akiwa tayari na memorandum
Akiwapa Kampuni za wanasheria ni milioni moja.
3. Wafanyakazi angalau watatu.
4. Usafiri ni muhimu ila kama hana anaweza kuanza hivyohivyo.

5. Aongee na Wakubwa wenye sekta ya real estate, majumba na Apartment zilizopo Upanga, Masaki, Obey, Mikocheni, hao wamkabidhi majengo yao.
 
Habari, nina mpango wa kuanzisha cleaning agency, so ninaombi kwa mwenye uzoefu ili nijue mambo mawili matatu.

1) bei za usafi wa sofa na carpets.
Inategemea unamsafishia nani, aina ya sofa na Carpet.
Kwa EXPERTS waishio Tanzania bei zao hazilingani na Local Customers.

2) bei usafi wa nyumba nzima
Inategemea na nyumba ikoje, ukubwa wake, usasa wake, Samani zake n.k. pia inategemea ni nyumba ya nani.
3) bei kung'arisha sink na tiles.
Anayepanga bei ni Wewe mtoa huduma.
Inategemea na Material ya usafi unayotumia pamojà na kiwango cha huduma unachotoa, ukubwa wa kazi na muda utakaotumika.
Zaidi inategemea na Brand yako ni kubwa kiasi gani.

Na mengineyo mwenye kufahamu pia anisaidie hapo.
 
Sahihi Kabisa.

1. Atafute vifaa vya usafi na mashine.
Hivi akiwa na milioni inatosha kuanza navyo.

2. Akasajili Brella na apate leseni. Hii haizidi 300k akiwa tayari na memorandum
Akiwapa Kampuni za wanasheria ni milioni moja.
3. Wafanyakazi angalau watatu.
4. Usafiri ni muhimu ila kama hana anaweza kuanza hivyohivyo.

5. Aongee na Wakubwa wenye sekta ya real estate, majumba na Apartment zilizopo Upanga, Masaki, Obey, Mikocheni, hao wamkabidhi majengo yao.
1. Namba moja nishapata baadhi ya vifaa kama grinder, drill na brashes zake, vacuum cleaner pia. Kama hutojali utanipa hints ya vifaa vngne.

2. Brella bado nitalifanyia kazi .( hapa you mean kufungua na kampuni completely)

3.wafanyakazi wapo attention

4. Usafiri nitajitahidi hapa.

5. Mimi nipo mkoani nitafanya marketing huku huku madon pia wapo.
 
Inategemea unamsafishia nani, aina ya sofa na Carpet.
Kwa EXPERTS waishio Tanzania bei zao hazilingani na Local Customers.

Inategemea na nyumba ikoje, ukubwa wake, usasa wake, Samani zake n.k. pia inategemea ni nyumba ya nani.

Anayepanga bei ni Wewe mtoa huduma.
Inategemea na Material ya usafi unayotumia pamojà na kiwango cha huduma unachotoa, ukubwa wa kazi na muda utakaotumika.
Zaidi inategemea na Brand yako ni kubwa kiasi gani.
Okay nimepata kamwanga mkuu ila bado nina kazi ya ziada kujua baadhi ya mambo
 
1. Namba moja nishapata baadhi ya vifaa kama grinder, drill na brashes zake, vacuum cleaner pia. Kama hutojali utanipa hints ya vifaa vngne.

2. Brella bado nitalifanyia kazi .( hapa you mean kufungua na kampuni completely)

3.wafanyakazi wapo attention

4. Usafiri nitajitahidi hapa.

5. Mimi nipo mkoani nitafanya marketing huku huku madon pia wapo.

1. Anza na hivyohivyo vifaa ili upate uzoefu na kujenga wateja wako.
Zingatia uaminifu ni muhimu kuliko pesa kwenye biashara. Hakikisha mteja anaridhika na huduma, pia lugha iwe ya kibiashara (nidhamu) wateja wana ile saikolojia ya uboss hivyo wengine watakutolea maneno ya Karaha. Usigombane wala kutupiana maneno na mteja.

2. Yes, fungua kampuni ndogo yenye mtaji wa milioni 1-5. Ili upate uhalali na pia ulinzi wa lolote likitokea.
Pia wateja wengi hupenda kampuni zilizosajiliwa.

3. Fanya Veting ya kutosha kwenye wafanyakazi. Uso ilimradi wafanyakazi. Nazungumzia ufanyaji kazi waweledi na nidhamu, uaminifu sio wawe wadokozi au walipuaji wa kazi. Au kujibizana na mteja wako.

4. Usafiri ni muhimu ila sio lazima kama ndio unaanza.

5. Hukohuko mkoani kuna wakubwa wana apartment. Hilo ndio lengo la kutoa mifano ya Masaki, Obey,na Upanga kwa huku DSM.
 
Umetisha sana mkuu
 
Back
Top Bottom