Nina mkosi jamani…{msaada Plz)

In general women are not about sex but true love. To them sex comes last. In your case I suggest you show real and true love practically. In so doing you will end up enjoying real and true love and sex too.

Hello! I was nearly to forget saying goodmorning to you!
I'm good, how is it with you this morning?
 

Im ok , thanx
 
kama unataka kumgonga ili uweke record mimi nakushauri piga kiaina yaani hata mchomeko mmoja tu ili kesho akijanjaruka uwe umeshatia saini!!!wakirukaga hao hawarudi inabaki story tu!
 

Duh!!! hii kali. Kweli nimeamini ule msemo wa waswahili usemao, akufukuzae hakwambii toka.
 
pole boflo,lkn usijali sana.
Inawezekana ni kweli anakua kwenye period,inawezekana anatumia hiyo gear kujaribu kukuchuna au bado anaona hayuko tayari muanze hicho kipengele.
Fanya kama alivyokushauri mwali,ikishindikana siki akisema amekuja lkn yuko ktk period muombe muende hotelini kwa maelezo kuwa hamtafanya kitu ni kwa ajili ya kupumzika tu kisha mkiwa huko hotelini muombe akuoneshe hiyo kitu na umueleze ni kwa sababu humuamini na hadithi zake za aina moja.
 
ha ha ha, BOFLO banaaa....Dawa yako wewe mkate tuu..kila akikuwaza au kukuona anapata stress. MP inaanza saa hiyo hiyo...aache usanii mkuu..kuna kitu anajishtukia hivyo anaogopa sana kukupa hilo tunda, mchunguze vizuri utagundua kitu au mwache akamaliza tuu period check nae, ikianza tena saa hiyo hiyo aaah basi tena kamanda amua kusuka au kunyoa:crazy:
Nimemuuliza inakuwaje anapata period bila mpangilio, akanijibu kuwa period mara nyingine haifati tarehe, inasababishwa na stress na mambo mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…