Nina mke ananitukana

Nina mke ananitukana

Kiyumbi Yuga

Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
92
Reaction score
169
Habari wana JF, Mimi nina mke tumefunga ndoa na tumejaliwa kupata mtoto mmoja kwa sasa ana miezi 8. Mke wangu ni mgomvi mno, kila ukimueleza jambo anapaniki hata kama ni zuri kiasi gani.

Kuna wakati anaaga anaenda sehemu kumbe anadanganya anaenda mahali pengine. Kuna siku baba mkwe akanipigia simu baada ya kujua kadanganya hakwenda alikoaga anaenda, akaniambia niwe namweleza kila uchafu anaofanya mke wangu. Lakini naona siyo poa kumwambia kuwa mwanao ananitukana na ni muongo.

Kipindi cha nyuma aliwahi kunisimulia kuwa alitoroka kwao na kwenda Tabora huko akapata mwanaume wakakaa miaka 2 lakini wakaachana na kurudi kwao hapo ndipo nilipokutana nae na baadae kumuoa, hayo ni machache lkn kifupi si mwaminifu, mgomvi, hana ushauri juu ya maisha na haniheshimu.

Kinachooniuma ni kwamba mimi ni mkristo na ndoa zetu zikifungwa hakuna kuachana. Nifanyeje? Nahitaji ushauri mzuri na wa hekima. Natanguliza shukrani.
 
Hukufanya home work yako vizuri, you need only one good year kujua mwanamke wa aina hii, so hukufanya home work yako vizuri kabla ya kuamua kumuoa, hii ndo madhara ya kusema nataka kuoa mwanamke mkali kuliko wote mtaani na kwetu, haya huyo sasa, si bado ni mkali? Aha kumbe kuna zaidi ya mwanamke kuwa mkali?
 
Habari wana JF, Mimi nina mke tumefunga ndoa na tumejaliwa kupata mtoto mmoja kwa sasa ana miezi 8. Mke wangu ni mgomvi mno, kila ukimueleza jambo anapaniki hata kama ni zuri kiasi gani.

Kuna wakati anaaga anaenda sehemu kumbe anadanganya anaenda mahali pengine. Kuna siku baba mkwe akanipigia simu baada ya kujua kadanganya hakwenda alikoaga anaenda, akaniambia niwe namweleza kila uchafu anaofanya mke wangu. Lakini naona siyo poa kumwambia kuwa mwanao ananitukana na ni muongo.

Kipindi cha nyuma aliwahi kunisimulia kuwa alitoroka kwao na kwenda Tabora huko akapata mwanaume wakakaa miaka 2 lakini wakaachana na kurudi kwao hapo ndipo nilipokutana nae na baadae kumuoa, hayo ni machache lkn kifupi si mwaminifu, mgomvi, hana ushauri juu ya maisha na haniheshimu.

Kinachooniuma ni kwamba mimi ni mkristo na ndoa zetu zikifungwa hakuna kuachana. Nifanyeje? Nahitaji ushauri mzuri na wa hekima. Natanguliza shukrani.
Oa Mwanamke mwingine muweke ndani ataacha kukutukana na Kuwa Muongo.. Kifupi umeoa Malaya na siku zote Asili haachi Asili yake.. Haijawahi kuwa Kunguru akafugika kama Kuku...

Ukiendelea kulea uovu kwa kumuogopa Baba Mkwe utaishia kuachia huyo mtoto wa Miezi minane umlee mwenyewe bila kujua Mama yake kaenda wapi kikubwa Hakikisha na Mtoto huyo ni wewe Baba yake...

Kikubwa Mwanamke akishakuwa shetani hata Shatenai Rucifier huwa anafumba macho
 
Habari wana JF, Mimi nina mke tumefunga ndoa na tumejaliwa kupata mtoto mmoja kwa sasa ana miezi 8. Mke wangu ni mgomvi mno, kila ukimueleza jambo anapaniki hata kama ni zuri kiasi gani.

Kuna wakati anaaga anaenda sehemu kumbe anadanganya anaenda mahali pengine. Kuna siku baba mkwe akanipigia simu baada ya kujua kadanganya hakwenda alikoaga anaenda, akaniambia niwe namweleza kila uchafu anaofanya mke wangu. Lakini naona siyo poa kumwambia kuwa mwanao ananitukana na ni muongo.

Kipindi cha nyuma aliwahi kunisimulia kuwa alitoroka kwao na kwenda Tabora huko akapata mwanaume wakakaa miaka 2 lakini wakaachana na kurudi kwao hapo ndipo nilipokutana nae na baadae kumuoa, hayo ni machache lkn kifupi si mwaminifu, mgomvi, hana ushauri juu ya maisha na haniheshimu.

Kinachooniuma ni kwamba mimi ni mkristo na ndoa zetu zikifungwa hakuna kuachana. Nifanyeje? Nahitaji ushauri mzuri na wa hekima. Natanguliza shukrani.
Umesoma bibilia vizuri lakini au unasikia tu kwa watu kuwa hakuna kuachana? Kasome uthibitishe mwenyewe ili ujue hatua za kuchukua. La sivyo uvumilie tu ndo mapenzi yalivyo.
 
Pole sana ndugu, tatizo la Wanaume wengi wakishamuona Mwanamke ana shepu nzuri, miguu mizuri na macho mazuri wanajua tayari wamepata mwanamke kumbe wengine ni mabomu hayafai kabisa, jaribu kushirikisha wazazi wa pande zote mbili huenda akabadilika.
 
Inaonekana ulikurupuka kuoa,yaani mtu aliolewa na mtu akaa naye miaka miwili na huko ndoa ilimshinda ndio wewe utaiweza?
 
Pole sana mficha maradhi kifo humuumbua

Unaweza ukatafta watu wazima ukawashirikisha jambo lako eleza kinaga ubaga muitwe mkalishwe chini mkeo apewe stahiki yake

Kama hivo ambavo baba yake anataka kufaham mfahamishe tena ikibid arudi kwao akae kidogo ajifunze 'discpline'
 
Nani kasema wakristo hamwezi kuachana?

Ukiona analeta mizinguo mrudishe kwao tu chukua mtoto wako lea usiumizwe kichwa na mwanamke uchwara kama huyo.
 
Kuna jambo moja tu. Nimeona kuwa wewe ni kristo saafi sana na hutaki kumkosea Mungu uikose mbingu kwa sababu ya mwanamke Mungu aliyekupa. Hongera.
Ushauri:
Kwa kuwa wewe huwezi kumwacha huyu mwanamke, na kwa kuwa njia pekee ni kifo kuwatenganisha, basi rudi kwa aliyekupa huyu mwanamke umuoe siku zote za maisha yako. Mwombe mwambie, Baba naweza kushindwa na mtihani huu. Sasa niwezeshe kama ni lazima nikae naye. Lakini kama si lazima, nipe mwanangu nimlee mwenyewe. Nakuambia, kwa maombi hayo, iko siku, Mungu atatia kisirani ndani yake huyo kahaba, aondoke na kutokomea kusikojulikana nawe hutamsikia tena maisha yako yote.
Sikujui wala hunijui ila naweza nikakupa ushuhuda wa watu kama 3 hivi Mungu amewajibu nao wako huru kabisa leo. Wana nyumba zao nzuri tu. (Sio majengo bali familia ya baba na mama na watoto)
 
Hivi jamani kuna kaburi la wenye ndoa na wasiokuwa na ndoa?au kuna kaburi la watalaka na la wasiotalikiana?ifike pahala watu wasiteseke sababu ya dini eti kisa mkristo uishi kwa tabu kwenye ndoa kisa ebu acheni ujinga jaman furaha yako kwanza wanawake hawajaisha alafu we mwanaume unaelalamika umeoa ama umeolewa?waliokwenye mapenzi ndo hawaelewagi somo sasa we usiyeweza fanya maamuzi means unampenda sana mkeo hujataka kukubali kuwa ulikosea kumuoa pambana tu na matusi yake hasa ukizingatia hayajiandiki uson
 
Back
Top Bottom