Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Kwi kwi kwi kwi lol! Ongezea pia mbali ya kusafisha kucha unasafisha na papuchi hata kama inatema kama ya ........lol!
Muuza dawa ya kuulia mende, kunguni, viroboto na chawa tu ndo ana bahati mbaya.
 
Reactions: BAK
Khaa hii ngumu kumeza,tena unaeleza kwa confidence za kutosha kabisa
 
Reactions: BAK
Wewe ulivyoacha mapaja wazi ili akutengeneze kucha ulitegemea nini?
 
Atakataa vipi sasa wakati tunalala na kupakua kila siku? Anaanzaje kukataa? Wala hajui baba wa watu. Mm nimemwambia tu kuwa "mume wangu sizioni siku zangu". akasema baraka ya mtoto mwingine hiyo mke wangu.
Kwo ukajiona umewin eeh?...Subiri mtoto atoke tumboni ndo utaelewa.Usifkir sisi ni wajinga kiivo hata kama tumewaoa..Mtoto kama ni damu yangu akizaliwa na kukaa miezi 3-6,Hakyanani lazime nijue kama ni Gaka au Real.
 
Wewe unauza mechi hivi hivi shauri yako, hivi ulimpima ukimwi huyo msafisha kucha? Usikaribishe mauti katika NYUMBA yako umuache mtoto wako yatima
 
Mbona kipindi unachepuka hukutuambia fyuuumbaaafyuuu
 
Usimtetee mwenzio na tabia zenu za kishenzi, mwenyewe kakiri hana sababu iliyomfanya amsaliti mme wake bali mazingira yalichukua nafasi yake!
Kama wako sio m'bunifu usidhani na wote wako hivyo, wengine kuchepuka ni sehemu ya maisha yao haijalishi anapata nini!
 
daah! thought process ya mwanamke ni ya kipekee sana

HAIELEWEKI
 
Ndio maana nmeamua niwe na watoto kama 10 hv sikosi hapo wawili au watatu wa damu yangu, maana hawa wanawake akili zao ni moja.
Na kampeni inaendelea, namiliki wa3 wa ndoa, na mtoto mmoja na mimba moja kwa michepuko.
Sitakaji ujinga mimi.
 
Mwambie Mume wako ukweli. Wimbo wa bukuku ukusaidie utubu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…