Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Ila si umeona now anatamani kuwa kwenye mikono ya nani zaidi?

Ndio muwe mnahudumia wanawake zenu vizuri, sio kuwaweka ndani na kufikiri basi inatosha. Inabidi mjiongeze kama mnavyotaka wanawake tujiongeze nanyi mnamengi ya kufanya kwao.
aaah
ndoa inahitaji vitu viwili vikubwa
upendo na uvumilivu,
upendo unahitaji kuridhisha na uvumilivu unahutaji kuridhika, kila siku uki demand more huta ridhika na huta kuwa mvumilivu.
of coz ntahangaika nimridhishe but if she will want more ata cheat tuu hata nifanyaje.
Mengine wanawake jifunzeni ket it pass, you will never get a perfect man, kama ana fanya main functions ridhika and move on.
 
Sawa, basi badili ubini wako uwe wa huyo msafisha kucha, cku ukizaa na msusi pia tumia ubini wake, ila ukija ukizaa na mimi ambaye ni mtekaji utakuwa mwisho wako wa kubadilibadili ubini wako!
unamteka mazima
 
aaaaahahahahahahaaaa
alikuwa ana mtega tu msafisha kucha hana llte

Ndio mjifunze kulea wanawake vizuri. Now anapewa mapenzi na kuduiwa motomoto kupita mume. Mume ni wakumlaumu kabisa, acha walee mtoto wao wapili, muhimu asimwambie wa kucha lolote lile juu ya mimba. Imetokea na amwachishe kwenda kwao, mtoto akizaliwa watu wasije kusema mbona kafanana na wa kucha...hapo sasa

Majirani au wasaidizi wa kazi ni wadaku sana
 
hahaha
coco, the cheater will cheat no matter what
si awe kama Flora tu, alipiga chini wa kwanza, kabeba dogo mwingine , kwanini sasa mnajipa kaz kusongizia mimba!?
aende aka lelewe na msafisha kucha tuone, ndio nikasema huyo haridhiki tu mwenyewe
 
Wanaume wa jf wengi wachovu kila siku kulialia wanatuaibisha sana wengine hatuko hivyo

Ha ha haaaaa

Ambao hamko hivyo mnayatenda ya kuridhisha wenu? Kabisaaaa bila wasiwasi? Muhimu muwe marafiki na kuelezana kila kitu na mautundu yote mnapokuwa dunia ingine bila kuoneana aibu. Mkioneana aibu basi hamjawa wamoja bado
 
Huyo ni mwanaume anawachora tuu sasa nyie mmeingia kichwa chote ANGALIEN POSTS ZA NYUMA ALIZO POST
Mi mwenyewe nilikuwa nashangaa maana najua mwanaume huyu ila huenda kuna story ameamua kutuletea tuchangamshe vidole kujibu
 
Ha ha haaaaa

Ambao hamko hivyo mnayatenda ya kuridhisha wenu? Kabisaaaa bila wasiwasi? Muhimu muwe marafiki na kuelezana kila kitu na mautundu yote mnapokuwa dunia ingine bila kuoneana aibu. Mkioneana aibu basi hamjawa wamoja bado
Laba nikuulize wewe Shemeji yetu anakutendea haki au ndo team kulialia.Sisi tuliofunzwa hatuna tabu tunaheshimiana na wake zetu kutokana na uwajibikaji wetu kila idara
 
hahaha
coco, the cheater will cheat no matter what
si awe kama Flora tu, alipiga chini wa kwanza, kabeba dogo mwingine , kwanini sasa mnajipa kaz kusongizia mimba!?
aende aka lelewe na msafisha kucha tuone, ndio nikasema huyo haridhiki tu mwenyewe

Hapana jamani hiyo ya kusema haridhiki hapana, angeridhika au kupewa uroda huyo hasingewini.

Lingine wanaume muwe mnaoa wanawake waliodate wachache mbili tatu, nne tano ha ha haaa na kuonja onja kabla ya ndoa, haya huwa hayatokei wanakuwa wanajua mengi na kujua mambo yalivyo. Wanakuwa wameshiba

Sasa mnakimbilia wale mnasema walifunga pichu, wengine mnawaita malaya eeeeh mnategemea nini!?
 
Laba nikuulize wewe Shemeji yetu anakutendea haki au ndo team kulialia.Sisi tuliofunzwa hatuna tabu tunaheshimiana na wake zetu kutokana na uwajibikaji wetu kila idara

Kwa bahati mbaya mimi humu siwezi hata kuwa ni ID feki kuongelea yangu ya undani. Ujue hata kwa watu sizungumziii. Nimefundwa mimi jamani, nimefundwa kwenye mengi eeeh hadi raha usisikie

So jibu utakuwa umelipata ati au?

Nakugusia tu kuwa ni urodaaaaaaaaaaaaaa haswa.
 
Hapana jamani hiyo ya kusema haridhiki hapana, angeridhika au kupewa uroda huyo hasingewini.

Lingine wanaume muwe mnaoa wanawake waliodate wachache mbili tatu, nne tano ha ha haaa na kuonja onja kabla ya ndoa, haya huwa hayatokei wanakuwa wanajua mengi na kujua mambo yalivyo. Wanakuwa wameshiba

Sasa mnakimbilia wale mnasema walifunga pichu, wengine mnawaita malaya eeeeh mnategemea nini!?
ohooo! huyo ambayae hajaonja sana siku akitoka tu, aka oata wasaa wa kuonja wanakuwaga hawakamatiki.

mapenzi hayana formula coco, nyie wanawake pia hamna formula ni kuish na nyinyi kwa akili bas hakuna jengine
 
Kwa bahati mbaya mimi humu siwezi hata kuwa ni ID feki kuongelea yangu ya undani. Ujue hata kwa watu sizungumziii. Nimefundwa mimi jamani, nimefundwa kwenye mengi eeeh hadi raha usisikie

So jibu utakuwa umelipata ati au?

Nakugusia tu kuwa ni urodaaaaaaaaaaaaaa haswa.
Au ukute ww ndo Wangu nimeshtuka
 
ohooo! huyo ambayae hajaonja sana siku akitoka tu, aka oata wasaa wa kuonja wanakuwaga hawakamatiki.

mapenzi hayana formula coco, nyie wanawake pia hamna formula ni kuish na nyinyi kwa akili bas hakuna jengine

Ni kweli. Naona inabidi uanzishe thread tukuite anko iceman 3D uwe unaulizwa ushauri na kujibu. Ukisaidiwa na Tajirimsomi.

Au sio?
 
Back
Top Bottom