Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Alikuvua pale pale? Nakumega on spot!! Chap na haraka.
 
Kwa hiyo Umebanduliwa kisa kusifiwa hicho kichupi chako cha kamba kamba?
Na usikute bili ya saluni kalipa mumeo.

Hapa ndipo ninapojiuliza kwanini nitumie nguvu kubwa sana kwenye mapenzi, mf. Kuhonga na Kubembeleza kupita kiasi, wakati kuna vijana wanafanya jambo dogo tu na wanatimiza lengo?
 
We usha tombeka vunga tuu
 
Ni kweli. Naona inabidi uanzishe thread tukuite anko iceman 3D uwe unaulizwa ushauri na kujibu. Ukisaidiwa na Tajirimsomi.

Au sio?
hahahaha
umenifanya kama nna wisdom ile mbaya, hahaaa mi sifai hata kumshauri mtoto mdogo, sema tu nikiwa nachat na wewe najiongeza ongeza kiaina, ku kuimpress
si unajua tena!
 
Mwanamke akikuaga anaenda sehemu akirudi salama Shukuru sana,Hakuna kitu rahisi kwao kama kutoa ile kitu,Hongera dada!
 
hahahaha
umenifanya kama nna wisdom ile mbaya, hahaaa mi sifai hata kumshauri mtoto mdogo, sema tu nikiwa nachat na wewe najiongeza ongeza kiaina, ku kuimpress
si unajua tena!


Ha haaaa

Najua sio kwangu bali kwa wengine humu, unajijengea CV kijanja kama kawaida yenu humu, ili muwapate..lol

Kujitengenezea CV mnafanya wengi eeeeh
Men na women
 
Ha haaaa

Najua sio kwangu bali kwa wengine humu, unajijengea CV kijanja kama kawaida yenu humu, ili muwapate..lol

Kujitengenezea CV mnafanya wengi eeeeh
Men na women
umenifukuza kiakili
mweer!!

nimekusoma lakin
teh teh
 
Ha ha haaaa
Wewe ni mtundu na unajijua.
Haya kamlaze kabla hujapewa talaka...Oops nakuharibia eeeh.
hahahahahahaaa
aaah!! coco,!! not to that extent!!
kuna baadhi ya details unazikosea bhana!

hebu fuatilia vzuri utajua tu.
 
Bongo movie haiwezi kufa maana waandishi wa maigizo mko wengi tatizo hamjitokezi kuiokoa tasnia mnaishia kuandika hapa JF wakati hii ingeweza kua bonge la movie,chai haujaanza wewe wenzako walikuwepo pia.
 
Pole shosti! "Maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge!"

Yaani nimestuka!!! Nimejiona kama ndo future yangu hii...
Nimempa namba msafisha kucha na ananivizia huyoooo!
Siwezi imagine ikatokea nimebeba mimba yake!
 
Reactions: BAK
Malaya wa ki se ng erma yaaan rangi kupakwa tuuu ukamzawadia na mimba juuuu???mwanamke anaetokea familia masikini sio wa kuanzisha nae maisha sasa je angekupiga na ka lunch juu yake si ungefungua hizo miguu zako kama ile kitabu ya chinua achebe.Kahaba wa kiwango cha barabara ya vumbi
 
Yaani msafisha kucha kakujaza mimba?halafu kwa nini unagongana kavu?
 
Msafisha kucha katia dosari ndani ya ndoa. Mke tayari ana mimba na dushe la mume halitaki tena baada ya kugundua kumbe halina ladha yoyote ile ukilinganisha na la msafisha kucha lililojaa utamu hadi tone la mwisho! Makubwa haya!

 
Hmmmm! Kumbe wasafisha kucha wanafaidi eeh! Unasafisha kucha huku unapapasa nyayo bi dada anasikia raha za ajabu na sauti kubadilika huku macho yakiwa yamerembuka. Msafisha kucha anaweka miguu vizuri ili aendeelee na kazi yake kumbe anataka kuangalia picchu aone ni ya rangi gani aisifie huku akiomba digits. In few days msafisha kucha anaomba papuchi kupitia digits alizopewa. Bila shaka usafishaji kucha ni ajira bomba sana wateja tele na ukijua kazi yako basi hukosi kuziona picchu na hatimaye kuomba papuchi. Paprika hii mimba ya nani!? Ya msafisha kucha. Tobaaa!

Pole shosti! "Maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge!"

Yaani nimestuka!!! Nimejiona kama ndo future yangu hii...
Nimempa namba msafisha kucha na ananivizia huyoooo!
Siwezi imagine ikatokea nimebeba mimba yake!
 
Kwa ulichokiandika hapa mawazo ya kuoa kwa wanaume wengi humu yatapaa na wadada watazeekea nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…